Recent content by Bangaloo

  1. B

    GE2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

    Ona sasa hata kuandika hujui Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
  2. B

    GE2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

    Mkikosaga ya kuongea huwa mnaropoka ropoka hovyo kama watu wasio na akili Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
  3. B

    Gwajima Unakumbuka hii? Ngoja nawe Ukerwe utie akili

    Sio kwamba hana kazi ya kufanya ila anatanua mipaka, kama kuna mtu anamapepo anambwengua alafua kazi inaendelea.
  4. B

    Gwajima Unakumbuka hii? Ngoja nawe Ukerwe utie akili

    Gwajima hagombei ubunge wa dini, Hii ni siasa usiingizie mambo ya dini. Ya kale yameshapita tugange yajayo, Siwezi kufanya kosa tena la kumchagua Halima, tunataka maendeleo kwenye Jimbo letu la Kawe hivyo kura yangu nampa Gwajima.
  5. B

    GE2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

    Ni hivi, sasa ivi hamna jipya la kusema mmeshaishiwa kabisa kwaiy kaeni mkijua ushindi ni mgombea wetu Gwajima
  6. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Kakojoe ulale[emoji57]
  7. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Hiiiiiii! We nae unaongea nini Mbona sasa kashindwa kuprove yeye ni super woman au unafkiri usuper woman ni sauti acha ubwege wewe
  8. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Haswaaaa yani bora angeisikiliza serikali ya kichwa chake, haya ona sasa aibu anayoipata.
  9. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Huoni kama ww ndo unashangaza
  10. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Kwa sasa hatutaki kufanya makosa kama ya mwanzo
  11. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Kiongozi habembelezwi wala halazimishwi kuongoza na kuwakilisha watu wake
  12. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Halima unapoteza muda wako bure na unajichosha maana wanakawe hawana muda wa kusikiliza Sera zako zisizo na maana yoyote, ulishashindwa kuifanya kazi yako hapo awali.
  13. B

    GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Basi hatuna haja ya kumsikiliza mtu ambaye alishatuangusha, sikio letu lote lipo kwa Gwajima
  14. B

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Hatumtaki huyu mwanamama alishashindwa bhanaa
Back
Top Bottom