Congrats bruh, DPW waje tu nobody argues about that, main concern ya watanzania walio wengi ni few contents kwenye hiyo contract, hivi hivyo vipengele avionekani au wewe Mr. Pascal Ndege na wewe uvioni pia? C’mon dude!
Serikali wawaambie warekebishe then wapewe uwekezaji, everyone will be happy...