Tangu mwaka 1945 Marekani imeshambulia nchi 96 - TISINI NA SITA !!!
Incomplete statistics showed that from the end of World War II to 2001, among the 248 armed conflicts that occurred in 153 regions of the world, 201 were initiated by the United States.
FAHAMU MAANA YA UBEBERU BADALA YA KUWA...
Nyie mnaodai eti Israel ni wabarikiwa na wateule, mbona majeshi ya Israel wamewaua Wayahudi wanaoishi Iran na kubomoa masinagogi yao huko Iran? Hebu tueleze
Siyo mabalozi wote kama Mahalu. Rafiki yangu anaishi Canada kama raia diaspora. Alipiga simu kujisajili ubalozini. Hakupata jibu. Akatuma barua pepe wakamtumia fomu ya kujaza. Akaijaza na kuituma. Hakupata majibu. Akaulizia hakupata majibu. Leo ni mwaka wa pili hakusikia lolote kutoka ubalozini.
Kwa hiyo kubomoa nyumba za wavuja jasho na kujenga maghorofa ya matajiri ni maendeleo ???
NONSENCE
Mbona huko Oysterbay hawataki kujenga maghorofa kama ndio maendeleo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.