Recent content by Bamdy

  1. Bamdy

    Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

    Bernhard H. Mayer Hii ni unyama sana
  2. Bamdy

    Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

    unamaanisha Computer Science(CS) kuwa serious bas kaka wasije watu wakakujibu ovyo. HKL usome computer science? kabla hujacoment fuatilia kwanza
  3. Bamdy

    Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

    kwa hapo umefeli mkuu, yaani wewe ndo una mawazo ya kimaskini. kujiajiri haina maana kuwa kuna watu wengine hawataajiliwa. mi nilifikiri ungeweka kozi chache tu za kumshauri mtu asome ili akitoka chuo asitegemee kuajiriwa. yaani focus ni kuja kuitumia skills aloipata akiwa chuo kupata pesa...
Back
Top Bottom