Recent content by Bamamo

  1. Bamamo

    Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    Acha u bashite, apigwe bang hadi atakapokufa.
  2. Bamamo

    Aina ya viongozi wa nje wanaoitembelea Nchi yetu awamu hii inasononesha

    Na huyu si ana history ya kubaka?
  3. Bamamo

    Aina ya viongozi wa nje wanaoitembelea Nchi yetu awamu hii inasononesha

    Usishangae, Bado yule KIDUKU wa Korea.
  4. Bamamo

    Aina ya viongozi wa nje wanaoitembelea Nchi yetu awamu hii inasononesha

    Ndege wa rangi moja, huruka pamoja, uliona wapi bundi kwenye kundi la njiwa. Ova.
  5. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Hakuna, wenyewe wanaona wameikomoa cdm.
  6. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    We nenda ukampikie bwanako, huna la kuongea hapa jamvini.
  7. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Ccm mlipochukizana 2015 mkapiga kura za 'maruhani' ndipo mkatuchagulia MSIYEMTAKA.
  8. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Hajasema alikosea, ameomba radhi kwa kuonyesha hasira hadharani. ZZK is right.
  9. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Wanaoifagilia ccm ni eidha wachumia tumbo au wasiojielewa. Hili kundi la pili ndio wengi kwani hata elimu yao ni ndogo.
  10. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Hapakuwa na uchaguzi pale, wao walicholenga ni kuikomoa cdm tu.
  11. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Ondoa upuuzi wako hapa, hiyo boxsa ya kijani uliyovaa ishachakaa, kaitupe.
  12. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Kwa siasa za kijani na njano asingepitishwa. Hivi unajua sababu za Nape kutolewa u katibu mwenezi? Kama hujui nitafute person" not on mitandao" nikujulishe. Hilo chama linaboa kichizi.
  13. Bamamo

    Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    Jina lako linakumaanisha. Hutouona ukweli hadi ufe.
  14. Bamamo

    Vifo vya wanafunzi 32: Mh Rais atuma salamu za rambirambi kwa RC Gambo

    Muongo, anawatengenezea watu zaidi ya 10,000 mazingira ya kifo halafu awahurumie watoto 32 ambao bado hawana wategemezi. Mimi simuamini.
  15. Bamamo

    Kivuko MV Dar es Salaam: Je, ni udanganyifu, ufisadi au utapeli wa serikali ya CCM?

    "Hii serikali nitaikabidhi WTZ ili isijadiliwe" ova.
Back
Top Bottom