Recent content by balyambalola

  1. B

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Remote, Mbona hiyo ni jelly! Movit tunayoisemea ni ya njano ina na sulphur
  2. B

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Kama plan A imeshindikana ingia plan B dawa za kienyeji za kunywa huku ukiendelea kupaka hiyo movit sulphur ya njano
  3. B

    Kwa vijana ni wachache sana, ila wazee wetu wengi waliweza

    Zamani walikuwa wakichepuka sana na mume akitaka kukuolea mke wa pili we ndo unatandika kitanda na kumuhudumia huyo bi mdogo sema ss kina mama tumejua haki zetu hatuambiwi kitu. Na wamama walikuwa wakichepuka ndo maana walikuwa wakizaa watoto wengi kumbe kati ya wale 2 ni wa familia anayodhani...
  4. B

    Alichonifanyia mke wangu kinazidi kuniadhiri kila uchao..

    Mkomalie mwambie we unajua na una uhakika kuwa mlishauriwa kutumia njia ya uzazi wa mpango na mkakubali na bado muda haujafika km ametoa kwa siri basi ana mtu aliyekubaliana naye kusitisha huo mpango wa kukinga mimba hivyo ni bora akasogea kwake ili walee hiyo mimba. Usiwaze kana kwamba we ndo...
Back
Top Bottom