Recent content by balozi SDG 10

  1. B

    Je, ipi ni adhabu stahiki kwa mtoto?

    Hongera mtoa mada kwa kugusa hiki kipengele nyeti ambacho kwa namna moja au nyingine kinachagiza kinachoitwa mmomonyoko wa maadili ambao msingi wake mkubwa ni kushibdwa kuwarekebisha vema vijana wetu kitabia na maadili. Nachangia haya mambo kadhaa 1. Kama ulivyoainisha adhabu huzingatia umri...
  2. B

    Watu wenye Ulemavu wanaweza tuwape nafasi na kuwatengenezea mazingira ya uwezeshaji

    Wanaweza Wanaweza walemavu, tubadili dhana zetu. Wanaweza tuwape nguvu, tusiwadharau katu Kawapa mola werevu, tuwaache wathubutu. Wanaweza kisiasa, kuongoza nchi yetu. Wanaweza kwa hamasa, tuwape dhamana zetu Ni wakati wao sasa, nao kuongoza watu. Wanaweza kielimu, tupo nao mavyuoni. Ulemavu...
  3. B

    Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Sio sawa kabisa, wanawake wanalifanya hili kama jambo la mazoea kwa kisingizio cha kua ananyonyesha mtoto tafuteni kanga wakati wa kunyonyesha mfiche sehemu zenu (hio ni sehemu ya siri)
  4. B

    Baadhi ya Watoto sio wazembe wala wavivu au vichwa vigumu wana ‘learning disabilities’

    👏🏾 sentensi ya mwisho nimeifurahia imemuwajibisha mzazi moja kwa moja. Nakazia ni muhimu kuja condition za mtoto wako ili ujue namna bora ya kumsaidia.
  5. B

    Baadhi ya Watoto sio wazembe wala wavivu au vichwa vigumu wana ‘learning disabilities’

    Habari wana JF, Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa. Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
  6. B

    Pole shetani

    Mbinguni kuna hukumu,amewaita manani Malaika walo zamu,aridhi na samawini Idadi wameshatimu,walo watu na majini Umeonewa shetani? Mikao ni kwa kaumu,watu wa zama fulani mitume yao hashimu,ilotumwa duniani Wamekaa kwa nidhamu,kikao kiso amani Umeonewa shetani? Mkuu wa mahakimu,aliyeketi enzini...
Back
Top Bottom