Recent content by balob

  1. B

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    duh kweli we unajua story yoote nakumbuka mama aliwai nisimulia haya
  2. B

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Duh kweli kabsa ila kuhusu Hawa sjui coz nlikua mdogo sana pale misasi enz hizo nilikuga karbu sana Na mwanae huseni ila kwa Sasa mma
  3. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mbeya kuzur pia
  4. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mbeya tukuyu secondary nije Moro manispaa ama Dodoma jiji
  5. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Unataka kuja tukuyu nije Moro? Mana umesema tu Safi sijakuelewa
  6. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo TUKUYU mbeya nije Moro manispaa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Walimu shule za Serikali wapaswa kurudi na kuhudhuria shuleni kuendelea na kazi

    Adui wa mwalimu ni mwalimu Yan mnaona tukikaa tukafanya shughuli zngne za kiuchumi tunafaidi sanaa
  8. B

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Huenda ni ndugu yake mana jina kubwa hilo tupo wengi tu
  9. B

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Ndo huyo Sasa anaongelewa enzi hizo tupo pale misasi vijana wadogo timu y basuco
  10. B

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Huyu ndio kuna tetesi hizo za mkono wa chuma Na alikua tajiri kweli anjiita bara supply company Ltd ndo maana ya basuco Na aliwai miliki timu ya mpira pale misasi kwimba
  11. B

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Taarifa yako inamapungufu kidogo manengero aliefariki miaka y 2000 hakua tajir ilivo ila kaka Ake aliefariki miaka ya 90 ama 80 ni Mohamed Hassan manengero alikua Na kampuni inaitwa basuco
  12. B

    JamiiForums Tanzania Moro Town: Mji unaoongoza kwa wajanja Tanzania

    Ok rudi nyuma kidogo ka tunaelkea kingalu kulikua Na Kota flan pale aliishi Dr machibya karibu Na hostel za Moro sec wasichana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Moro Town: Mji unaoongoza kwa wajanja Tanzania

    Mwalimu amry tulimwita kikulacho pale forest Bila kumsahau Mr dogo n marehem chiduo
Back
Top Bottom