Recent content by Balghay

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jina la Israel na maana yake

    Wakristo wengi hawana elimu sahihi ya biblia na maandiko yake, ndyo maana kila wakati wanajigongagonga, tatizo akili zao zimefunikwa pazia jeusi hawana haki ya kusoma kuujua ukweli lakn wako tayari kupokea mapokeo ya uwongo kutoka kwa hawa wanaojiita wachungaji, mwenyezimungu amesema tafuteni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Islam is true religion the rest the human made bussiness.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wazungu waanza kuambiana ukweli

    Ww hujui historia ya michezo SEMA wao walichofanya ni improvements/ modern footballs lakn historia ya michezo yote haikuanzishwa na waingereza kabla ya uingereza michezo ilikuepo nenda kasome
  4. B

    JamiiForums Tanzania NASAMS (Advanced Air Defense System) toka Marekani ilikuwa imepiga usingizi au?

    Barabara hapo umenena points tu, aisee big up Hakka NATO wamepata mbabe wao, ujinga wao kwisha walifikiri urusi ni kadudu kadogo Leo wanahaha mifumuko ya Bei ya vyakula , mafuta na gesi, sababu kuu ni vita ya Russia na Ukraine. Hakka Putin ni dudu kubwa sana kuliko west na NATO. May peace of God...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Pro-Russia, hakuna sakata la Vita Kuu ya Tatu ya Dunia. Msiogope!

    Umekurupuka au ulikuwa chooni mzee, hv unafikir NATO hawajui mziki wa Russia, ebu jiulize jeshi la NATO liliamia ktk mipaka yaPoland Lin? Je ni kweli hawajui bomu limetoka wapi? Fikilia kuwa ukiwa mbabe pia utapata mbabe mwenzio , NATO na USA walifikili Dunia hii, wameumba wao kuwa wanaweza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

    Russia is uncontrollable state in military control, has been done the same thing in every battle and won it. US and NATO is like bush dog baking feared an enemy and hidden the nails.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni kujiunga Urusi, tangazo la kuongeza askari wa akiba: Maneno ya Putin yanatimia kuhusu malengo ya uvamizi wa Ukraine?

    Tuko pamoja hoja zenye mashiko, Ukraine ishapoteza kitambo magharibi wameanza kupoteana. Mwisho wa vita unakuja
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky apendekeza dunia kumtambua Rais Putin kama gaidi

    Biden ndio gaidi pamoja Obama, Bushi ambao wameua watu wengi middle east.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Urusi: Uvumi wa kuwa silaha za wamagharibi (US+NATO) ni 'superweapons' unayeyuka mithili ya theluji mchana wa jua kali

    Vita hv NATO wala Zelenkey amabae atashinda bila diplomasia Ukraine itabaki ghofu tu sehemu ya mapambano ya silah Ukraine kamwe haiwezi kuishinda urusi, diplomasia TU itumike kuleta amni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Zelensky sasa anataka dunia yote iwasuse warusi wote. Warusi wote warudi urusi!! Dunia yao iwe urusi!!

    Jamaa sasa ataluka wazimu mipango yote imeshindwa Yuko peke yake, NATO hawezi kushinda kijeshi hapo lazma tu waludi mezani na bwana mkubwa putin
Back
Top Bottom