Recent content by Bakari China

  1. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Nyanya na Mayai. Jipikie mwenyewe!

    usitie nyanya kwanza ama sivyo mboga itakuwa yenye maji mengiiii hakikisha mayai yaive zaidi kuliko nyanya. Mayai mabichi hayaliki ila nyanya mbichi yalika:Citto:
  2. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Nyanya na Mayai. Jipikie mwenyewe!

    Simfahamu mkuu, lakini mimi ni mwanaumeo_O nawafundisha kupika chakula tu
  3. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Nyanya na Mayai. Jipikie mwenyewe!

    Habari wakuu wa JF! Hapa ni Mchina Bakari, ni muda mrefu hatujaonana. Leo nitawafundisha namna ya kupika chakula kizuri cha Kichina, jina lake ni 番茄炒蛋, ambalo linamaanisha nyanya na mayai. Kabla ya kupika, unatakiwa kuandaa vyema kwa mapishi yako. Malighafi yanapatikana sokoni, nyanya moja na...
  4. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    ni kweli kabisa mkuu. lakini, kukuza urafiki huo kutaleta faida kwa nchi hizi mbili. "Kwa maslahi ya pande zote" inawezekana
  5. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    urafiki wa China na Tanzania ulianzia miaka ya 1960s. TAZARA na miradi mingine ya misaada kutoka kwa China ni ishara ya urafiki huohuo. Mwenyekiti wa Jamhuri ya Watu wa China Bw. Xi Jinping (baadhi ya watu wanamwita Rais wa China, lakini si sahihi kwa sababu mataifa ya kikomunisti yana wenyekiti...
  6. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    unachosema si ukweli kabisa. sisi sote wanafunzi wa Kiswahili kutoka nje ya Afrika tuna mapenzi ya dhati kwa watu na utamaduni wa Kiafrika. tunasoma lugha hiyo kwa kusudi la kuendeleza urafiki wa dhati baina ya taifa letu China na Tanzania.
  7. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    ukiwa na shahada ya uzamili (major in Kiswahili) utapata ajira nzuri ya kufundisha chuoni hapa China
  8. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    2021年4月23日至4月26日,上海外国语大学东非研究中心主任、东方语学院斯瓦希里语专业负责人马骏老师,东非研究中心副主任、斯瓦希里语专业宁艺老师率领斯瓦希里语专业5名同学赴京参加“全国非洲语言教学研讨会暨首届中国高校非洲语言学科竞赛”,随后前往清华大学国际与地区研究院参加交流研讨活动。...
  9. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    mimi ni mchina:)
  10. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    baada ya ugali huja maziwa au kinywaji baridi, baada ya kinywaji huja usingizi😁 maisha mazuri eh
  11. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    nitakula peke yangu. bado familia yangu hawajazoea chakula Kitanzania😁
  12. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    niliwahi kula ugali mara moja tu, pamoja na mchuzi wa nyama (mboga za kizungu)😅 labda mboga za Kitanzania au Kichina zitanifurahisha zaidi mno
  13. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    asante kwa muongozo wako, unasaidia sana
  14. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    ndiyo
  15. Bakari China

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe kupika ugali wa mahindi

    Habari marafiki zangu wapendwa? Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini nitajaribu kuzipika vizuri kama iwezekanavyo. Shukrani
Back
Top Bottom