Recent content by Bajuso

  1. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Sasa tunalalamika nini.... Kwanzatulikua tunatolewa kwa bei Nzuri na tunalalamika na kutoridhika....na bei sasa ndio hiyo imepanda manake tumesemaaa sana sasa serekali imepandisha tax kwa kweli mimi duka langu ninabidi nilifunge manake biashara inanishindwa.... serekali yetu inafanya tax ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Watanzania tunaumia sana, we have one of the highest tax rate compare all over Africa serekali yetu wamefanya tax na bandari as a main income source.....tanga mji wameuua Kwaajili yakuongeza tax.....lazima serekali yetu waangalie sana au Wanaichi tutaumia
  3. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wamkabidhi JK shule ya msingi Mabwepande

    Asante sana ndugu kuwaeleza watanzania wenzetu ukweli.... sasa humu ndani wanawabiga vita na kuwatukana HSC kwa Kazi zao na success za kibiashara watu waliojijenga na Kuanza Kazi miaka 15 Nyuma....... hawa Hawa watanzania wenzetu Wenye origin yakiyemen hutoa misaada na kuwapa Kazi ndugu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Watanzania lazima tufikiri sana tunapoelekea na lazima tufikiri sana before we write our opinion or listen to rumours... Haya ni maneno yanajengwa na wafanyabiashara wengine rivals wa Hawa vijana.. hawavijana wanajenga nchi na kuwapa Kazi watanzania wengi tuu faida zao za kibiashara zinatumiwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    kampuni hii iko over 15years sasa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Sikweli Hizi ni fitina Kutoka wafanyabiashara wengine wakubwa wa Tz,ndio wanatafuta maneno kuaaribia Kazi vijana Hawa.........Hawa vijana been on the business for a very long time na hard work and trust ndio ilipowafikia hapa Kuwa successful. hawa vijana nendeni Mkaone godawni zao watu wangapi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Sasa unajibiwa hamna mtu aliye kwepa kodi,unaambiwa Vipi vijana walivyo jijenga kibiashara kwani company haiwezi Kuwa successful mpaka ikwepe kodi....Hawa jamaa kismet kweli wanasaidia sana na wanapata support niyi hi from royal families
  8. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    HABARi hizi sizakweli watanzania let's learn through experience... haya jamac wanachukua mizigo Yao viwandani china whole sale,wanna special rate ya freight,that's why vitu val very cheap,wangekua wanaiba wasingeweza ku survive biashara miaka yote halo,wangapi matajiri wanakuja na kuondoka... na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Hawa vijana niwafanya Kazi for over 15years in freight business wanna experience na special offers,h Mimi money ewe nilikua nina wasiwasi nao sana mwanzoni mapaka nilivyo peleleza Vipi Kazi wanafanya na kukuta ni hard work na trust waliojenga miaka yote ya nyuma
Back
Top Bottom