Kumekuwa na tatizo la watu wa DAWASCO kuchimba mitaro na kuiacha kwa kipindi kirefu. Mtaani kwangu njia panda ya Segerea tuna wiki mbili wamechimba na hakuna kingine kimefanyiaka, hii ni kero sababu tunashindwa kutoa magari na kuingiza ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.