Recent content by bahaticaro

  1. bahaticaro

    Kuna umuhimu wa kumshirikisha mpenzi mpya mambo ya mpenzi wa zamani?

    kuna vitu ambavyo huwez kumweleza i admit that lakin kuna situation kam kwa mfano ur x alikuficha kitu fulan alafu mwisho wa siku ukaja kukigundua na ikawa sababu ya nyie kuachana je kitu kama hik kibaya jaman
  2. bahaticaro

    Kuna umuhimu wa kumshirikisha mpenzi mpya mambo ya mpenzi wa zamani?

    Kuna ulazima wowote wa kushare ur past things/shits with your new boyfriend and if yes unadhan ukifanya hvy itakuongezea chochote kama yeye kukupenda zaidi au kukutreat tofaut maana huwa inafikia point unatamani kushare maumivu yako na kila mtu mahusiano yanaumiza jamani kama ukikutana na wrong...
  3. bahaticaro

    Ushauri kwa vijana wezangu

    smart911@ unaweza kunipa vile vile
  4. bahaticaro

    Ushauri kwa vijana wezangu

    swal la kumuomba mungu na kuwa na subira ni muhimu vilevile
  5. bahaticaro

    Ushauri kwa vijana wezangu

    kwanza mwanamke unakuwa umeshapanic unajikuta atakayekuja yeyeto unajiondokea ili mradi uolewe
  6. bahaticaro

    Ushauri kwa vijana wezangu

    na waume za watu wanavyojua kuhonga sasa enyi waume za watu punguzeni bas kuhonga muwaache mabinti waolewe
  7. bahaticaro

    Ushauri kwa vijana wezangu

    kama wewe ni kijana ambaye una umri wa miaka 25 hii ni speacial kwa wasichana ukipata chance ya kuolewa aisee usiikatae cz i did my reserch about this marriage things nikagundua kuwa unamuhimu wa kuolewa mapema faida ya kwanza unajijengea heshima binafsi wazazi pamoja na jamii , pili...
  8. bahaticaro

    Natafuta mke wa kuoa

    mwanamke mzur kwako anatakiwa awe je?na tabia je? na wew ni mzur?
  9. bahaticaro

    Unaoa kabila au mtu?

    Kwa wachaga wana nin mbn kam ni most wanted kabila ambalo makabil mengi yanapenda kuoa
  10. bahaticaro

    Unaoa kabila au mtu?

    Habarini wanajamvi. Mimi naudhika jamani kama humu ndani kuna wazazi samahani sana, ila mnakosea sana kulazimisha mabinti zenu kuolewa na aina ya kabila fulani. Kwani mtu anaoa kabila au mtu.Utakuta watu wameshapendana wakifika nyumbani wazazi wanakataa eti kigezo kabila fulani...
Back
Top Bottom