Recent content by bahatibahati

  1. B

    TANESCO Shinyanga Wakata Umeme Wakati Wananchi Wakiangalia Mechi ya Tanzania vs Guinea ya Kufuzu AFCON

    Naweza kusema TANESCO hamna uzalendo kabisa kwanini mnakata UMEME kwenye tukio kubwa la kitaifa kama Hilo. Meneja TANESCO SHINYANGA mbona hana uzalendo. Ni aibu kubwa sana.
  2. B

    Utatuzi wa changamoto za walimu Mwanza ni changa la macho na uongo mkubwa kuwahi kutokea

    CWT mkoa wa Mwanz kwa kushirikiana na maofisa kutoka waizara ya Utumishi wa Umma iliaandaa kliniki ya utatuzi wa changamoto za walimu jana 13, October 2024. Badala ya kutatua changamoyo kilichotokea ni maafisa wa Utumishi Dodom kutoa ushauri tu na hakuna afisa aliyetatua changamoto hata moja...
  3. B

    Wapi Chasambi? Kocha Fadlu tuambie Chasambi amekukosea nini hadi humpi nafasi ya kucheza?

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema. CHASAMBI angeweza kuikwamua Simba
  4. B

    Azam Media fukuzeni anayechukua picha za matangazo ya mpira, u-Yanga umemzidi

    Hiyo mfanyakazi wenu si muadilifu kwenye kazi yake, hasa anapochukua matukio ya picha Yanga inapocheza na timu nyingine. Anachofanya ni kuipendelea Yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba yanga. Kwa mfano, alishindwa kurudia PICHA goli lilokuwa limefungwa na KENGOLD dhidi ya Yanga...
  5. B

    Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

    Hii ya GSM ambaye ni miongoni mwa wamiliki wa YANGA Kudhamini timu NYENGINE saba kupitia wanasheria wangu nalipeleka. FIFA Ili haki itendeke na majibu mtayapata nyie uto.
  6. B

    Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

    Tatizo ni miongoni mwa wamiliki wa timu ya YANGA kampuni yake GSM Kudhamini timu NYENGINE saba.
  7. B

    Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

    GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA. Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala. CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba...
  8. B

    Simba Sports Club vunja mkataba wa Kapombe na Fredy Michael hawana viwango na duka lililobaki Simba ni Kapombe

    Viongozi simba sports club VUNJA mkataba wa KAPOMBE na FREDY Michael, VIWANGO gyao ni vidogo kwa Sasa. KAPOMBE ameichezea Simba kwa muda mrefu Sasa, kinachotakiwa ni kumpa mkono wa kwaheri Ili kulinda heshima yake. Aidha KAPOMBE Hilo ni duka pia ambalo lilisababisha tusichukue ubingwa.
  9. B

    Approval madaraja ya Watumishi wa Umma, TAMISEMI wanamwangusha Rais

    Rais alikuwa na lengo zuri tu kwa watumishi la kuwapandisha Madaraja lakini kazi hiyo haijakamilika kwa baadhi ya wilaya hadi July hii. Taarifa za uhakika zinasema wilaya za mkoa wa Shinyanga kama Ushetu, Shinyanga DC, Kishapu bado Kuna malalamiko mengi. Approval hao wasifanye watumishi...
  10. B

    Kocha anayekata kuajiriwa na Simba, Padlu Davids ana kiwango kidogo kuliko Mgunda

    Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote. Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha aliyeondoka wa singida black star. Chonde chonde tusifanye makosa hayo.
  11. B

    Simba tafuteni mbadala wa Lameck Lawi wakati mkisubiri hatma ya mgogoro huo

    Salaam, Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana. Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa kipindi hiki tafuteni mashine zaidi ya Lawi.
  12. B

    Mwaka huu wa fedha 2023/2024 hakuna kupanda madaraja na mserereko? Watumishi wa Umma wameingizwa choo cha kike?

    HAKIKA MCHENGERWA, Ridhiwani na Simbachawene mmewaingiza watumishi choo cha kike, kwani pamoja na kuwatuma maafisa mbalimbali Kila Kona ya nchi kuongea na watumishi hakuna hata kimoja kilichotekelewa. Hakuna cha Madaraja, mserereko, msawazo uliofanykka. Hii ni fedha kubwa kwa watumishi wa...
  13. B

    Madaraja na mserereko wa madaraja kwa watumishi ni porojo tu. Serikali hakuna hela?

    Naweza kuthibitisha Hilo kwamba ahadi ya serikali kupandisha watumishi wa umma Madaraja kawaida na kwa mserereko kwa MWAKA WA FEDHA 2023/2024 ni porojo tu kwani hakuna dalili yeyote inayoonyesha kufanya hivyo. Watu mbalimbali wanatabainisha kwamba hawajui lengo la serikali kufanya vikao na...
  14. B

    Mwana FA: Kuendesha timu Kabla ya kukamilisha taratibu za kisheria za uwekezaji chanzo cha Mgogoro Simba

    Means fa kama mwanachama wa Simba kweli anaacha tatizo limalizwe na wanachama wenyewe
Back
Top Bottom