Recent content by Bagamoyo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Kwa Hukumu ya Kesi hii ya Zitto Zuberi Kabwe vs Magufuli & Others maana yake ni nini kwa Prof. Assad? Msemo wa Nassoro Katuga kuwa - "Mahakama Siyo Mama Yako", ina maana Prof. Assad inabidi kufungua kesi kudai ya mafao yake kama hajapewa kwa mujibu wa tafsiri ya Hukumu hii ya mahakama ya juu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Lazima wateme bungo, wawajibike kwa mauaji ya 29 October 2025, katiba mpya iandikwe, mfumo wa Haki uundwe, Uhuru wa Pili Freedom upatikane, tujinasue kutoka utawala wa kikaburu wa genge la waovu wachache waliojitangazia utawala haramu la CCM
  3. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    07 October 2026 Mbeya, Tanzania CHADEMA MBEYA VIJANA WAONGEA MAZITO KUHUSU UTAWALA WA CHAMA DOLA KONGWE Sheria kandamizi, sheria haramu https://m.youtube.com/watch?v=ozw1yVoxxEs Wachambua kwa kina utawala haramu wa watu wachache waliopo ndani ya chama dola Kongwe. Kutekwa nyara kwa mchakato...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Story za Prof. Palamagamba Kabudi

    07 October 2026 PROF. KABUDI - TUHESHIMIANE NA MSHUKURU SANA SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=ECpAIYDXG6I Prof. Palamagamba Kabudi akipiga stori na Viongozi wa Vyama vya Siasa leo tarehe 06 October 2926vwakati wa Baraza la Vyama vya Kisiasa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania awasili Uingereza

    07 October 2026 Tanzania Investment Forum 2026 Date: 8 October 2026 (13:30–17:30 BST), with bilateral meetings spanning 6–9 October 2026. Location: London, United Kingdom. Conveners: High Commission of the United Republic of Tanzania in the UK, Invest Africa, and NMB Bank Plc as the strategic...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    PROF. KABUDI - HASHIM RUNGWE, ALIVYO SEMA UBWABWA WATU HAWAKUMUELEWA 07 October 2026 PROF. KABUDI - UBWABWA NI MARIDHIANO, NJOONI NYOTE KAMA CHAUMMA WALIVYOFANYA KUSHIRIKI UCHAGUZI 2025 SASA WANAKULA UBWABWA https://m.youtube.com/watch?v=QKRjTlAfeig
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    06 October 2026 On October 6, 2026, the Court of Appeal of Tanzania delivered its landmark judgment in Zitto Zuberi Kabwe vs President of United Republic of Tanzania & Others (Civil Appeal No. 176 of 2023). The Ruling The Court of Appeal ruled that providing a fixed, renewable statutory...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Kesi ya kihistoria Zitto Kabwe dhidi ya rais wa Jamhuri ya Muungano na wenzie 3 06 October 2026 ZITTO ZUBERI KABWE DHIDI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL...........2nd RESPONDENT CHARLES KICHERE .. 3rd RESPONDENT PROF. MUSSA JUMA ASSAD ...................4th...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    27 July 2026 Jenerali Ulimwengu explore the history, meaning of Not Yet Uhuru and future of our nations https://m.youtube.com/shorts/-jtN3C0fXlE Tofauti ya : INDEPENDENCE UHURU WA TAIFA NA FREEDOM UHURU WA PILI Unasema: dhana ya Uhuru wa taifa la Jamhuri ya Afrika Kusini Republic of South...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    March 2026 Dr. Gertrude Ibengwe Mongella - On Apetite for Power https://m.youtube.com/shorts/8bQokjVRBhA
  11. B

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    05 October 2026 Stockhölm, Sweden Habari za kusikitisha, mzee wetu Gaby Kababa Nkomba ameaga dunia nchini Sweden ambapo amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 40. Gaby Nkomba Kababa, a former member of Orchestre Safari Sounds dunia msongamano, has passed away The veteran musician, Kababa Nkomba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Rais Tshisekedi aita Mazungumzo ya Kitaifa kutuliza mivutano ya kisiasa, M23 wawekwa kando

    06 October 2026 Goma, DRC DELEGATION KABAMBE MU GOMA MUJINI, HALI YA USALAMA YAIMARISHWA
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    06 October 2026 SPECIAL REPORT Wicknell Chivayo : Money, Power and the President A Biblical term in Shona of Mukuru weMazuva translates as - The Ancient of Days https://m.youtube.com/watch?v=_TYKUghgbkk Excellent deep dive into Sir Wicknell Chivayo life.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    06 October 2026 Arusha, Tanzania 46th CATA Annual Heads Meeting and Technical Conference 2026 Arusha, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=uJ1phjfZvXQ Hon. Deogratius John Ndejembi, Vice President of the United Republic of Tanzania, officially opened the 46th. Commonwealth Association of...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Je ni michezo wa ufisadi wa kiDola ya utawala wa wachache haramu kupitia chama dola CCM ? Nigeria : Kashfa ya Foleni Kubwa ya Meli zilizosheheni Mzigo wa 'Simenti' hewa nje ya bandari kuu ya Lagos Nigeria 1974–1980 https://m.youtube.com/watch?v=vk0NLAeHPkA Skandali ya Foleni za Meli za...
Back
Top Bottom