Shamba linauzwa lipo katika Kijiji cha Mtakuja-Kiwangwa.
Lina ukubwa wa Ekari 35.
Lipo umbali wa km 4 kutoka barabara kuu itokayo Bagamoyo -Msata.
Limepandwa mitiki na miembe
Bei ni Tsh milion 1.2 @ ekari
contact: 0765 178 494
Viwanja viwili Vinauzwa vipo Ununio Beach/Mahaba beach.
Vina ukubwa wa sqmt 1300 kila kiwanja. Vipo karibu kabisa na Bahari (Plot ya 3 kutoka beach)
Vyote vina hati.
Price: Tshs 200m
Contact: 0765 178 494
Shamba lipo tambalale hakuna mabode. Linafaa kulimwa mananasi au kupimwa viwanja maana hapo ndio mjini kabisa umeme wa REA upo jirani.
Kwa sasa sijalima kitu niling'oa visiki mwaka jana.
Ninauza Shamba langu lipo Fukayosi lipo mita 200 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 5.
Limepimwa. bado kupata Hati.
Bei ni Tsh 2m@ Eka.
Napenda niuze zote kwa mtu mmoja.
contact: 0756 178 494
only phone calls no pm please.
mita 20*30 Vipo Mapinga km 2 Kutoka barabara ya lami iendayo Bagamoyo Vipo viwili unaweza kuvinunua vyote ukaviunganisha. bei Tsh 6m.
contact: 0765 178 494
Viwanja vinauzwa bei poa Mapinga Kibosha. vipo Viwanja Vitatu ukubwa wake 40*40 kila Kiwanja. Umeme upo.
Hapajapimwa. Taratibu zote za Kisheria zitafatwa ikiwemo Serikali ya Kijiji.
Bei ni Tsh 6milioni kila kiwanja.
contact: 0765 178 494
Viwanja vinauzwa Bunju B Block 20. Viwanja vya
mradi. Vipo Viwili Kimoja kina sqmt 1553. Bei
60m
Kingine kina sqm 2339. Bei 90m
Vyote vina Hati.
Contact: 0765 178 494.
Viwanja vinauzwa Bunju B Block 20. Viwanja vya mradi. Vipo Viwili Kimoja kina sqmt 1553. Bei 60m
Kingine kina sqm 2339. Bei 90m
Vyote vina Hati.
Contact: 0765 178 494.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.