jamani siye yule mnae mjua ninyi,huyu nirafiki yangu aliniomba kuwa atumie email yangu kutafua naye anashida ya kupata mchumba,mimi ni Geofry nisha pata mchumba anaishi morogoro anaitwa Vai na yeye akaomba atumie email yang baada yakuona kunamafanikio maana mimi nilifanikiwa siku ilele japo...
Naitwa Godfrey wa Mbeya Tanzania natafuta mchumba wa kuoa,nna umri wa miaka 25,ni muajiriwa,dini yangu mkristo.Mchumba nnaye mtafuta yeyote mwenye mapenzi ya kweli anitafute kwa namba:0657753472.na ahidi kumpenda kwa dhati nakumjali endapo kama ntampata.Jioni njema wana Jf wenzangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.