Nimesoma taarifa hii nachelea kusema kuwa Kenneth Simbaya amalizane na hao waratibu. Hii ni aibu na fedheha kwa Taasisi kubwa nchini.
---
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI ZA AJIRA, KUTOLIPWA MISHAHARA, BIMA YA AFYA, MICHANGO YA NSSF/ZSSF NA MASUALA YA KODI KWA WARATIBU
Sisi Waratibu...
Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb uchaguzi umekaribia. Wengi tuliomba na deadline ilikuwa Oktoba 31.
Cha ajabu hatujaitwa kwenye usaili...
Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme.
Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
Hebu mtazame mama huyu kutoka kitongoji cha Luami, wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Tangu anazaliwa mpaka anakua mtu mzima anashuhudia wanawake kama yeye wakitembea umbali wa kilomita 5 kubahatisha kupata maji.
Kwa miaka 30 mama huyu anasikia kuhusu mradi wa Bwawa la nyumba ya Mungu...
Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa.
Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya...
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha.
Wanakwenda na School bus zinaishia mbali kwasababu ya ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji...
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi.
Hali hiyo ilibainishwa mwishoni mwa wiki na baadhi ya wananchi waliosema hawaridhishwi na mwenendo wa mbunge...
Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda.
Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo.
Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP?
Na Thomas Joel Kibwana
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania, kilififia na kupoteza umaarufu wake kutokana na changamoto za uongozi, mgawanyiko wa...
Pale Kivukoni sehemu ya kukatia tiketi katika Kituo cha Mwendokasi pa hovyo sana.
Kwanza abiria ni wengi wanasongamana mno wanagombea tiketi. Mtu unakomaa kwenye foleni hadi unafanikiwa kufika dirishani, hapo unakuwa umepambana hasa.
Sasa unafika dirishani unataka ukate tiketi fasta fasta...
Jana niliona picha wananchi wakiwawajibisha viongozi wao akiwemo diwani wao huko Arusha. Nikakumbuka diwani wa huku kwetu Minga. Huyu jamaa alikuwa mwenyekit wa BAVICHA akahamiq CCM. 2020 akapewa udiwani ambao haujamstahili ht robo. Anachojua ni kupiga mdomo tu.
Fedha za TASAF zinafujwa yeye...
Mimi ni Mfanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu ambalo lipo Manispaa ya Morogoro, katika soko hili kuna changamoto kubwa hasa kuharibika kwa taa, swichi za feni pamoja na masinki ya kunawia mikono.
Tangu soko lifunguliwe Mwaka 2020 halijawahi kufanyaiwa ukarabati, hivyo taa haziwaki mpaka...
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali inayosababisha maisha ya watu kuwa hatarini.
Wanaokuwa hatarini zaidi ni Wanafunzi wa Shule za Msingi...
Ilikuwa hospitali ya wilaya zamani....baada ya kujengwa kwa hospitali ya Rufaa Mandewa, iliyokuwq hospitali ya Mkoa wa Singida ndo ikawa hospitali ya Manispaa na hii ya Sokoine ikawa Kituo cha afya. Ila zamani ilikuwa hospitali kubwa ikitoa huduma zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.