Recent content by baDani

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kupata maduka mengi ya rejareja ya vipodozi kwa ajili ya kuwauzi vipodozi kwa bei za jumla

    Mimi Nina mzigo upo njiani kutoka South Africa, Bb Relaxer kit. Any one interested WhatsApp 0758121728
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa

    Kg Moja Sh Ngapi??
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kupata maduka mengi ya rejareja ya vipodozi kwa ajili ya kuwauzi vipodozi kwa bei za jumla

    Mambo vip mkuu, Naona hii thread Kwa Sasa. Anyway Mimi Nina shida hii hii. Kwa Sasa nipo South Africa, huwa nakuja mara mbili au mara Moja kila Mwezi, na hapa nakuwa na truck nazisimamia kutoka Johannesburg hadi Dar Moja Kwa Moja. Tumekuwa tunauza Rolls on za Nivea nk Nk, nifikiri kufanya hii...
  4. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Biometric Time Attendance Devices

    Jipatie Time attendance device kama kihakiki cha mahudhurio ya wafanyakazi kiwandani, ofisini mahotelini nk, na hata mashileni. Rahisi kutumia. Ina back up Battery kama umeme umekatika, unaweza Tumia bila shida. Haihitaji software ni plug n play. Unadownload report mbali mbali kwa USB flash...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya mashine ya kuoka mikate

    Zipo Nyingi sana, inategemea unatakaje. Mimi naziuza kwa order maalumu, mfano Kuna Oven za deck 1, 2, 3, Nk za gas na za umeme. Ninakutumia quote za Gas , Ila za umeme zipo gharama chini ya hizi za Gas. Instagram natumia #dbstechnology Call/WhatsApp #0784121728, Ushauri Ni Bure. Mimi Ni Baker Pia.
  6. B

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Bunju B

    Nyumba ya wapangaji inauzwa, ina wapangaji 5 ( 3 ni single rooms, 2 ni chumba na sebule) wote kwa pamoja wanalipa 450,000 kwa mwezi na kila mmoja ana Luku yake. Ina vyoo 4. Maji Dawasco na reserve tank. Ni mpya . ipo dakika 1 kutembea kwa mguu kutoka bunju b barabara kuu ya bagamoyo. ina hati...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nina machine mpya kabisa heavy duty vacuum

    Wakuu, Salaam, kwa wafanya biashara na wajasiriamali. Nina machine mpya kabisa heavy duty vacuum ya kupakia bidhaa yenye double chambers. Naiuza haraka kidogo bei nzuri sana. Tshs 2.5 M. IPO sinza. Call/WhatsApp 0784121728 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni msambazaji wa bidhaa mbalimbali? Karibu tufanye biashara

    Nasupply mashine Mbali za catering,jikoni, na food Processing, food packaging Nk. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kumenya viazi, kuslice na kukata

    Ohhh Mashine ya kumenyea Viazi Bei Halisi dukani Ni 1.8 M Tshs kwa Sasa Kuna offer ya SIKUU hii na ya mwaka mpya kwa Tshs 1.2 M Only offer hii mwisho tarehe 2 January 2020, mashine ya umeme ya kuslice na unaset thickness unayotaka Ni 1.5 M Tshs. Mashine ndogo manual ya kukata viazi yenye size...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kumenya viazi, kuslice na kukata

    Hujui kitu bro, Ni Bora kukaa kimya kuliko kufungua utu WAKO kuwa hujui kitu. Mosi sijataja Bei, pili hizo mashine tatu kwa namna yeyote Ile haiwezi kuwa 40,000. Hiyo Ni Bei ya kununulia kisu na vikombe. Tumuia busara acha kukurupuka Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kumenya viazi, kuslice na kukata

    Zimewasili Dar mashine nzuri za kisasa za Kumenya Viazi, pia kwa wajasiriamali wanaotaka kufanya biashara za Kumenya Viazi na Kuingiza kipato Safi, mashine ndogo manual za kukata viazi pia ZIPO, mashine ya umeme kubwa ya kuslice Viazi, Ndizi, Mihogo zipo kwa wale wa crisps.. Nicheki kwa...
Back
Top Bottom