"Mzee huyo alikuwa ametiwa hatiani kwa makosa matatu, moja la kubaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kwa makusudi na kosa la tatu likiwa ni kufanya jaribio la kumbaka mtoto huyo." Hayo makosa matatu kisheria yamekaaje hapo
Mara baada ya kupata uhuru baba wa taifa hayati Mwl. JK Nyerere aliainisha na kutangaza maadui wakubwa wa taifa letu. Mwl. JK Nyerere alitangaza maadui wa taifa kuwa ni maradhi, umaskini na ujinga. Tangu kutangazwa kwa maadui hawa wa taifa, taifa liliwapinga kwa nguvu zote na kusaidia...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo haiwezi kukwepa matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuendeleza uchumi wake. Taasisi za umma zinaongoza kwa kuwa na huduma isiyoridhisha kwa upande wa teknolojia ukilinganisha na huduma za taasisi za binafsi.
Ni kweli hatuna uwezo wa teknolojia iliyo bora na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.