Ndugu yangu siku hizi bajaji sio usafiri Tena, zimekuwa nimojawapo ya kero kubwa sana kwenye miji yetu, na ukizingatia inasemekana nyingi zinamilikiwa na mapolisi basi hata kusimamishwa wakat zikivunja sheria ni nadra sana, naadreva wengi wa bajaji hawajui sheria za barabarani, basi kerooo...
Katika pita pita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero Moja inayofumbiwa macho na manispaa ya Moshi mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na soko la Manyema, yana ufinyu au hayana kabisa maegesho ya wateja kuegesha magari Yao ili wakapate huduma sokoni.
Kero hizi...
Kama ushawah sikia ulemsemo, "unaniona Mimi ni kama ile chupi yako iliyotobika"
Ndio hii sasa
#hatujasahahu29Oct
#hatusamehiwoOct
#backbemchers
#backbencherschronicles
Kwenye katiba inasema, maandamano ni haki ya mwananchi, ila ss hawa viongozi vichwa panzi hukutaka tu hata kuongelea swala la maandamano wanakasirika wanataka wakupoteze. Ss hapa picha linaanza hapo tu sehemu kesi ilipofunguliwa, mahakama ya mwanzo, yenyewe Haina uwezo wakusikiliza kesi, mtu...
Hata siku 1 siwezi muamini mwanasiasa, hata akisema nje kuna mvua lazma nitokea nje nkahakiki, ndio tuseme makamu wa raisi anaweza kwenda kinyume na raisi?
Inakuwaje hapa kama anamtema mama kiaina, na sio mara ya kqanza mchimbi kuongelea mambo kama haya, kwamba anajua kabsa kuwa watanganyika...
Kila siku zinapigwa kelel juu ya global warming na hali ya joto kuongezeka, ss anakuja kiongozi aliyepewa badala yakuchàguliwa anayaongea haya. Watanganyika mpaka hii serikali ya FISIEMU itoke madarakani, tutaona vituko vingi mnoo, yaani tutaiskia maneno ya ajabu ajabu mwengi mnoo. Ss kama...
Ebwana eehh tunajua hyo kesi lazma iwekewe mapicha picha na mambo meusi, ila çhamuhim tusikate tamaa, hawa wapuuzi lazma tuwanyooshe tu, hata nchi zanje lazma zione kuwa haki inakandamizwa tanzania
Ewaaaa, sasa hawa ndio tunaziita akili zenye watu. Hatakama mahakama ikilitupa hili shauri, ila ishaonekana serikali yenyewe inavunja sheria nakukandamiza wanasiasa wa upinzàñi. Sio hawa hawa viongozi mbumbu waliojaa serikalini na bungeni ambao wanafyata mdomo wakati sheria zinavunjwa, wanabaki...
Unamtishia nani ss, watu tunauchungu na watu waliopoteza uhakika kwakuuwa wa majumbani mwao bila sababu yoyote we unajidai unauchungu na miundombinu? Najua wewe umepandikizwa tu humu ili uvuruge vitu. Mungu akurehemu
Ikitokea siku mtu akuambie inaakili kama za mwigulu, pigana naye mpaka umtoe damu, yaan huyu bwana anaakili fupi mnoo, a very selfish man. A Very stupid man
Hamna kitu hapa, yaan huyu jamaa mi simpendi, nadharau mnoo na maneno maneno ya kejeli
Waliopiga risasi nakuwauwa wananchi majumbani mwao ni hao wanaharakati. This is a very stupid leader, bure kabisa hamna kitu kichwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.