Habari
Mim ni mwanamke
Umri wangu ni miaka 27
Makazi yangu ni Dodoma
Nafanya kazi
Natafuta mwenza mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 40
Awe ni mkristo
Awe anaishi dodoma
Awe na stable source of income ( mpambanaji anae jitegemea
NB: awe ajaona na awe tayari kuwa kwenye mahusiano yenye tija.
Habarini ndugu zangu. kwa yeyote aliye ndani ya Dar es salaam, na anaitaji babysitter kwa siku au zaidi ya siku, wasiliana nasi kwa simu number 0692378942 kwa siku tuna angalia mtoo au watoto wako kwa elfu 10,000 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.