Recent content by baby seky

  1. baby seky

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar

    Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar Kiwengwa, kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea. Kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakini pia kwa biashara Nauza kwa tsh 30million maongezi yapo 🙏 Namba ya simu 0764090800
  2. baby seky

    Naomba ajira

    Amen🙏
  3. baby seky

    Naomba ajira

    Asante
  4. baby seky

    Naomba ajira

    Diploma in account
  5. baby seky

    Naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu. Kazi ambazo naweza kufanya Utunzaji stoo Mapokezi Mauzo (sales officer) Napatikana Kibaha, Pwani.
  6. baby seky

    Natafuta kazi

    Haaaa
  7. baby seky

    Natafuta kazi

    Dah asantee shida ni hiyo kuendesha piki piki 😩
  8. baby seky

    Natafuta kazi

    Mimi ni binti miaka 26 Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani. Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
  9. baby seky

    Kama wewe ni mtangazaji na unatafuta ajira pitia hapa

    Vipi dalali huna mchongo wa kitengo cha uhasibu?
  10. baby seky

    Je, wewe ni msambazaji wa bidhaa mbalimbali? Karibu tufanye biashara

    na supply handbags nzuri sanaaaaaa karibu mkuu
  11. baby seky

    jenga na sisi kwa ubora wa jengo lako

    je unahitaji kujenga iwe nyumba; gorofa swimming pool; kuchorewa ramani; kukaguliwa ubora wa jengo lako? kama jibu ni ndio basi tunakukaribisha ujenge na sisi office yetu ipo kibaha maili moja. mawasiliano 0757854660 njoo ofisini tuongee vizuri!! lakini pia kampuni yetu ina husika pia na...
  12. baby seky

    Hotel rceptionist anahitajika

    mkuu naomba mm tena nime KU pm hujibu please mm naweza
Back
Top Bottom