usije ukaenda kwa waganga was kienyeji..tulizunguka kwa waganga wote wa Tanzania Hilo sio tatizo la huko..ni nerves kichwani ndo tatizo..maelezo yako na ya ndugu yangu ndii hivyo hivyo
Nina ndugu yangu alikuaga anatatizo Kama hilo hivyo hivyo ulivyolezea..alizunguka kila hospital na kufanya vipomo vingi Sana baadae akagundulika Ana tatizo na nerves kichwani akapewa dawa za kutumia kwa muda was miaka miwili na kila baada ya miezi 3 anaenda kufanya vipomo miaka miwili inaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.