Ni kweli kabisa hii kampuni ya wasomi ya sasa ni vituko tupu. japo wapo wanaojitambua.
suala la bunge na kamati zake hazihojiwi kwingine popote kwa kuwa moja ya kazi zake ni kuisimamia serikali na hili ndilo lililofanyika, hivyo wanazuoni hawa kama wanampenda sana muhongo nawashauri kurejea...
Mimi sio mwanasheria, lakini uamuzi wa majaji wasomi wazoefu wa mahakama kuu, kushindwa kuamua suala la mchakato wa sheria mama(katiba) katika nchi na kusema ni suala la kisiasa kwa kweli si sawa.
Naamini hata watoto wa darasa la tano watakuwa
Wamepatwa na ukakasi kuamini kilichosemwa...
Leo ni siku kubwa katika historia ya nchi yetu ,
tukwenda tengeneza bulldozer litakalotumika kutengeneza Barbara ya ukombozi kwa watanzania walio katika Lindi zito la umaskini.maradhi na ukandamizwaji na kuminywa haki zao za msingi na kuwafanya wajione wanyonge ktk nchi yao waliyopewa na...
Nadhani watu hawa hawajui wanachofanya huko Dodoma.
Nashindwa kuamini kama viongozi wa dini wanajua kiapo kinataka nini na kuwa Mungu awasaidie nini.
Nadhani hawaijui rasimu iliyoeasilishwa na tume ambayo ni maoni ya waumini wao yalikuwa yanataka nini kwa nini ili iwe nini.
Hata hivyo...
mimi pia nilisikia na kujikuta nasema Uchi wa akili ni m-baya kuliko uchi wa mwili, yaani clouds wanadhani wanawakilishwa pale bungeni? na
Kuwa maoni yao ndio yanajadiliwa?
kweli tumedumazwa katika maisha ya kitumwa, hata tukifunguliwa tuwe huru hatuwezi.
Mbona hata wewe umeeleza bayana kuwa waliahidi kuwasilisha ushahidi mbele ya tume ya kimahakama kama rais ataiunda.
Na sijawahi kusikia kuwa tume hiyo iliundwa hivyo kuwafanya CHADEMA kutowasilisha ushagidi mbele ya hiyo tume. Na sisi kuwa katika nafasi nzuri ya kuwanyooshea vidole, lakini...
Alimezeshwa cassette mara alipozaliwa sasa ndio muda wa kutema kila kilichojirekodi, Kama yatakuwa matusi, kashfa au chochote atakachokisikia mtaani kinajirekodi na kutema popote, iwe ni bungeni, chumbani, chooni, kanisani au jukwaani...
Mimi nimewasikia ila nilishangaa kwa kuwa hatukuhitaji teeeeena kupigiwa simu kuulizwa kwa kuwa maoni yetu tayari yalikuwa ktk mikono yao.
Aidha nilistaajabu dharau na kutowathamini viongozi wa dini kwani hakukuwa na haja ya kuwapigia simu maaskofu ili hali wapo maaskofu tayari katika bunge...
kumbe mzee Nimrod Mkono ni mchafu kwa rushwa kiasi hiki?, inawezekana kweli Mbowe alipewa mkwanja lakini je alikidhuru chama?
Lakini ni dhahiri Bwana mdogo wa Kigoma kaskazini amekitenda chama hata kama asingepokea mulungula.
Kitendo cha kupokea fedha na kukidhalilisha chama na vionozi ni...
Sidhani kama wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA ni weupe kichwani kiasi cha kubeba hoja mfu ya mwigulu na kuingia nayo katika mkutano mkuu.
CHADEMA haiokoti taarifa barabarani ina vyanzo vyake vya uhakika na haiwi hoja hadi imejiridhisha uhalisia wake na madhara kwa chama kwa hoja husika...
Mzee mwenzangu Dr. Hang'ang'anii bali anatekeleza wajibu na haki yake ya kikatiba kama mwananchi,mwanachama wa chama cha siasa na kiongozi wa chama cha siasa.
Aidha ni utii kwa chama kwani safari ya kikazi amepangiwa na kamati kuu ya chama hana budi kutii na kuwajibika.
Siasa ndio kazi...
Ziara hizi zilipangwa kitambo na ziko katika ratiba, na kuwa sio ziara ya kigoma tu bali ni ziara nchi nzima hivi sasa makamanda wametawanyika katika kanda zote tatizo macho na masikio ya wengi yameelekezwa kwa Dr. Slaa.
Aidha wanachama na wapenzi wa CHADEMA Kigoma waliomba kutembelewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.