Recent content by Babu Sisu

  1. Babu Sisu

    JamiiForums Tanzania Historia ya Professor wa chuo cha Udsm aliyeuawa kwa bomu

    Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
  2. Babu Sisu

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Newton

    Kweli kaka
  3. Babu Sisu

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Newton

    KALAMU YA NEWTON Siku moja wakiwa darasani, mwalimu aliwaambia wachore picha ya kitu wanachokipenda zaidi. Wengi walichora magari ya farasi, wengine wanyama kama mbwa au farasi, na wengine walichora nyumba nzuri za ndoto zao. Lakini Isaac, tofauti na wote, alichora tu kalamu. Kalamu nyeusi ya...
Back
Top Bottom