It's over and topic is closed 🔐 Historia ya Tanzania kabla ya uhuru inapatikana katika mikoa ya Pwanii na Historia ya Tanzania baada ya uhuru inapatikana Shinyanga. Siku ukiambiwa Robert Mugabe alisoma Mwenge Primary School na akaenda Shybush kwa masomo ya sekondaree hutaamini hadi kufa.. 😂
It's over and topic is closed 🔐 Ila kazi nyingine ya jesh la wanyamapori ni kuhifadhi na kutunza vitu vyote vinavyomilikiwa na serikali ikiwa ni pamoja na kuthaminisha amana zote za kiserikali..
Kwa upande wa matio walioingia tano bora moko huwa wanajiunga na jesh la wanyapori kwa cheo kile...
Huyo ndio mmiliki wa Marcopolo za Katarama na anaish Rwanda! Hiyo kampuni anamilik yeye na kwao wana hela. Babu na Baba wote walikuwa ni marais wa Kenya. Mahustlers ni wakina Odinga na Ruto! Ila Odinga na yeye anamiliki Royal Liner za kuchonga kutoka kwa Kanjibai zipo Kenya..
Kulikuwa kuna wakina Kiwanuka na Banduka, wote walisoma Ndala School na walimaliza standard seven wakitoka kidedea..
Nyamka na Mwanguku ni watu wa juzi tu! Pale shinyanga mjini kuna mitaa ilipewa majina yao na wanamiliki majengo mengi ukiwa Uganda na Rwanda..
Watoto wao wengi wamo majeshini na...
Wajinga wale na wametapeliwa vitu vingi! Ila ni wachawi hataree na namna ya kujiponya aids walifundishwa na wakina Joho, hata Joho ni kizazi cha chifu wa utemini lakini wao hawana mambo ya kishambaa..
Hao wakina Judy walikuwa na hela za ndagu, kutoa watoto wao wa kuwazaa wenyewe ijapokuwa...
Saivi askari wanajua sanaa namna ya kuishi! Askari wale ambao ni wanafunzi bora wanajiunga na Majesh wakiwa na hela nyingi..
Wengine walishaanza kumiliki malori yao na wanayaendesha wenyewe kwenye lami! Sema biashara ya usafirishaji wa mizigo inahitaji connection, unaweza kupeleka mzigo sehem...
Hata kisiwa cha Mayotte kinamilikiwa na sisiem, sema huko shinyanga vijijn hawasumbui kama sehem nyingine. Dawa ya watu wa shinyanga vijijn ni kuwaangalia tu! Hivyo hivyo kibishi, ipo cku wataamua kubadilika wao wenyewe. Hata kuoa tunarudi kuoa kwetu..
Nakumbuka miaka ile ya zamani, Nyamka na...
Watumishi wote wa ikulu lazima wawepo tano bora kwenye mitihani ya moko. Wale wajanja walikuwa wanapeleka watoto wao vijijn kwenda kusoma shule za msingi. Unakuta shule hawana Walimu na watoto wanakaa chini..
Hata shule yenyewe kwenye kata unakuta ipo moja tu! Lakini mtoto akirud nyumbani...
Wakina Selemani na wao wameanza kua matapeli baada ya kutapeliwa kampun yao ya kiooo! Walitaka kuanzisha Umoja wa watu wa Bubiki na Selemani ndo awe mwenyekiti wakagonga mwamba na wakajikuta pekee yao..😂
Hizi sheria wamezijua juzi juzi tu! Lakini wale wengine walioyajua haya mapema walishatusua tangu siku nyingi na saivi wanakula hela za serikali wakiwa nje ya nchi..
Wakina Kikwete ndo waliokosea kuliko wote! Hata Nyamka na Mwanguku hawakua hivyo, tena alikuwa ni askari magereza mwenye nyota...
Zamani watu wengi walikuwa hawayaelew haya mambo, ijapokua wanafunzi wengi walikuwa wanasoma sanaa! Saivi jina la Buthelezi limeshaingia kwenye mzunguko wa wakuu wa magereza na mwakan ni tcta ukonga kama senior askari magereza..😂
Ngoja tuachane na stori za Nyerere! Hizo sheria za moko huwa zipo duniani kote, sema watanzania huwa hawazifati na mataifa yaliyoendelea hadi viongoz wa kitaifa akiwemo Rais lazima wawepo tano bora kwenye mitihani ya moko. Kuanzia moko kata, moko wilaya, moko mkoa hadi moko kanda..
Mitihani ya...
All in all, Nyerere alikuwa ndo Rais wa kwanza wa Tanzania na nafasi yake haiwez kupokwa kwenda kwa mtu mwingine. Hao wengine kama mawazir, mabalozi na makatibu wa vyama walikuwa ni chombeza time ili mda wa kukaa madarakani umalizike!
It's over and topic is closed 🔐 Lakini nawish kuendelea.. 😂 Huyo ni mtoto wa Kluveit! Unajua mzazi hasa mama akitoa mtoto wake katika umri mdogo kwa mtu mwingine ambae sio hata ndugu anakua kama amemtupa..
Ile huwa ni ndagu ya mafanikio na maelekezo kutoka kwa mganga wa kienyej! Ikitokea mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.