Inasikitisha sana kuona wanafunzi bado wanakaa chini,Kweli mkurugenzi wa jiji anatakiwa kulitafutia ufumbuzi swala hili,vipi mitihani yao ya darasa la saba wamefanya vipi? walipata sehemu za kukaa kweli,nadhani hata sisi wananchi swala hili linatuhusu sote,inabidi tufanye juu chini kulitafuia...
The only thing that shall save us ni sisi wenyewe kubadilika,mnaonaje mwaka 2010 tupeleke wapinzani wengi bungeni maana italeta changamoto bungeni na hata mambo ya kifisadi yatakemewa kwa nguvu zote,naomba mnipe habari juu ya majaji waliochaguliwa siku za karibuni na bwana JK,wana vigezo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.