Recent content by Babu Alli

  1. Babu Alli

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habari, Kuna kazi nyingi zimetangazwa za mining. Umejaribu kuomba ndugu yangu? Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  2. Babu Alli

    Mwenye Ramani ya kupata kazi ya usafirishaji wa magari IT Dereva nipo

    IT ni kifupi cha In Transit Hii ni In transit cargo, kwa maana ni mzigo ambao umepokelewa Kwetu Tz ila bado upo safarini kuelekea kwenye Nchi iliyokusudiwa kama Zambia, Congo, Malawi, nk Kwa hizo gari huwa zinaandikwa IT na namba za kuutambulisha mzigo mbele yake. Mizigo mingine ni kama...
  3. Babu Alli

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/40305245 Kwa wadau wanaohusika wanaweza fuata
  4. Babu Alli

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Michoro ya 3D tuu haijitoshelezi Mkuu.. Architectural/ Mechanical/ Electrical au.....? Weka wazi ni upande gani hasa unahitaji na ofisi zenu zipo MKOA gani au sehemu gani hasa ili iwe rahisi kwa walengwa kusogelea fursa.
  5. Babu Alli

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Nashukuru sana kwa swali! Mikataba kama mikataba ya makubaliano ipo, na mara zote kabla ya kuafikiana jambo lazima kuna mawasiliano ambayo kwayo mnakubaliana ni namna gani mtaiendea kazi husika hasa ikiwa ya maandishi mfano sms, emails, nk. Nayo ni sehemu ya Mkataba Ila kwa asili ya biashara...
  6. Babu Alli

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Nashukuru sana! Kwa upande wa hii biashara yetu kimsingi tunahitaji mambo machache sana, na vigezo vyake ni rahisi kama muhusika ana nia ya kweli. 1. Kujitambua Katika hili tunahitaji mtu ambaye anajitambua na anatambua ni kwanini yupo mahala fulani ili aweze kujisimamia mwenyewe katika...
  7. Babu Alli

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Ama kwa hakika mwandishi umezungumza mengi yaliyo ya kweli hususani kwa jamii na kizazi cha wahitimu wengi wanaokabiliana na changamoto hii. Kila mtu kwa nafasi yake anatosha Kuwa shahidi kwa yale ambayo yanamgusa yeye binafsi moja kwa moja. Kwa kupitia nafasi hii, naomba niwape fursa baadhi...
  8. Babu Alli

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Binafsi nahitaji watu wa kushirikiana nao kufanya matangazo yaani wawe kama mawakala wa kuuza viwanja. Kwasasa tuna miradi Vikindu, kisemvule na baadhi ya maeneo ya Mkuranga. Wakala atalipwa kwa kila mteja atayemleta na kununua. Kwa maelezo zaidi nicheck PM
  9. Babu Alli

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Hujasema unapatikana wapi, na wapi unaweza fanya kazi kama ikipatikana
  10. Babu Alli

    Car4Sale Mitsubishi Canter for sale

    Wala hujakosea Chief, kwani hiyo horse/ tractor ya Semi inauwezo wa kuvuta tela yenye mzigo kiasi gani? Au kuna horse yenye uwezo wa zaidi ya tani 10 kwa matumizi ya kawaida hapa kwetu? Hiyo tani tano ni max capacity inayoweza beba kutokana na body yake.
  11. Babu Alli

    Car4Sale Mitsubishi Canter for sale

    Tani 5 Ndugu, samahani kwa kuchelewa kukujibu
  12. Babu Alli

    Car4Sale Mitsubishi Canter for sale

    Mitsubishi Canter Engine Code: 4D 33 Gari ipo katika hali nzuri sana, na kwasasa haifanyi kazi yeyote (imepaki) inapatikana Posta, Dar es salaam. Asking price: 22M (maongezi yapo) Kwa yeyote anayehitaji kuikagua tafadhali wasiliana nasi kupitia 0787600849 0623433833
  13. Babu Alli

    House4Sale Nyumba inauzwa Vikindu

    Umbali kiasi gani kutoka barabara kubwa
Back
Top Bottom