Recent content by Bablii

  1. Bablii

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Kama ya Slaa wewe unaona ni PhD basi namie nnayo...!
  2. Bablii

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Mbunge wangu Mh John Mnyika, nikisoma hii taarifa yako niwazi kwamba umeshajitafutia upande (uko bias), unaposema eti wanaokashifu viongozi watachukuliwa hatuwa zinazofaa...! Kwanini hukusema hatuwa zinazofaa pia zitachukuliwa kwa viongozi wanaojengwa makundi kwa kubaguwa na kukandamiza...
  3. Bablii

    Gay test...

    if you saw the ice cream first, you're GAY.... and FAT
  4. Bablii

    A private tutor....

    for hire...
  5. Bablii

    Mchina....

    Mchinaaa
  6. Bablii

    Ni winter time....

    Ni winter time...
  7. Bablii

    Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

    Awe ana wastani usiopungua 65 Kila wiki lazima ajitolee sehemu yeyote sio chini ya masaa mawili, asifanye sehemu moja zaidi ya mara tatu ndani ya mwezi Kila mwezi lazima asome journal paper tatu topic ambayo nitamchagulia na aandike summary ya hizo paper Kila wiki lazima anipe report ya...
  8. Bablii

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Ehh kumwita Padri nimeshakuwa mdini? Yaani kumwita mtu kwa kazi yake aliosomea ni au kwa cheo chake ni udini? Mbona sijakusoma! Hivi Ponda tukimwita Sheikh Ponda ni udini? Na Kilaini, tukimwita Askofu Kilaini ni udini? Au Slaa sio Padri?
  9. Bablii

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Umechoshwa?! Mbona huchoshwi na kelele za ufisadi zinazopigwa na CDM! Usichoke ndo ukweli Padri Slaa bado anipenda CCM. Slaa aliingia CDM sio kwa lengo lakuiondoa madarakani CCM, wala si kwa mapenzi alonayo kwa CDM! Kilochompeleke CDM ni bada ya kutoswa ubunge katika CCM. Uroho wa mdaraka, hbado...
  10. Bablii

    Mwanakijiji, hoja za Maalim Seif na Union of treaties

    Foum Jnr Umemaliza kila kitu...Ahsante mkuu!
  11. Bablii

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    Kwani ni nani aliyempa madaraka Amani Karume ya kukubali kufanya negotiation na CUF hata kuingia kwenye maridhiano ambayo yalisababisha serkali ya umoja wa kitaifa Zanzibar? Ukiweza kujibu swali hilo, basi na hilo swali lako jibu liko humo humo! Lakini kwa kukuelimisha tu, hata iwe kajituma...
  12. Bablii

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    Nimesoma hayo matapishi yako hapo juu sioni point hata moja...zaidi nnachokiona naona mtu wa kijiweni anaongea bila kujuwa anachoongea! 1. WaZanzibar wanakuja Tanganyika bila vibali sababu ya Muungano kama vile waTanganyika wanavyokuja Zanzibar! Sioni anae mbeba mwenzake! Muungano...
  13. Bablii

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    Ingekuwa hivyo unavyosema, basi saa hizi waTanganyika ndio amabo wangekuwa wanadai muungano uvunjike! Lakini ukweli si hivyo, Tumeungana, muungano wa kiini macho, Tanzania ndio Tanganyika! Tanganyika inanufaika na kufaidika 99% ya kila kilicho cha muungano! Imebadili jina tu, kutoka Tanganyika...
  14. Bablii

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    We ndo wale wenye vichwa vya samaki alosema Karume...yaani karne hii 21 unazungumzia Sultani! Ebo! Eti Seif anataka usultani? Hata hueleweki! Unahoji eti kwanini hawasaidii wazanzibar hivi sasa? Atasaidia nini na kwa vipi ikiwa njia zote kuu za kiuchumi zimebanwa na watanganyika kupitia...
  15. Bablii

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    Hahaha imebidi nicheke...ndugu yangu unaojenga hoja kama mlevi! Hivi waZanzibar wanaonunuwa ardhi Tangayika au kuja Tangayika bila visa, ni kwa sababu ya hisani ya Tanganyika au sababu ya Muungano? Ukishajijibu swali hilo, utagunduwa kwamba huna sababu wala hoja ya kulalamika kwamba eti wa...
Back
Top Bottom