Recent content by Babaviwanda

  1. B

    Kilimanjaro National park/ Kilimanjaro Mountain Huduma ni mbaya sana

    Ndio walikataa na waliupinga mradi kwa nguvu zote. Wakatafutwa hadi watu wakuandika viripoti vya kijinga eti kwamba hawa ma tour operators watakosa ajira na familia zao zitatabika.Na wengine wakasema eti ukiweka cable cars,utaharibu uoto wa asli wa mlima kwa kua watalii wengi watakuja...
  2. B

    Ileje ni moja ya Wilaya duni nchini ikiwa ni miaka 48 tangu kuundwa na ikiwa chini ya CCM

    Kuna watu wanaitwa wanyamanyafu huko. Ni wachawi balaa
  3. B

    Kilimanjaro National park/ Kilimanjaro Mountain Huduma ni mbaya sana

    Ndio maana nchi hizi maskini hazitaki viongoz legelege. Ukitaka usikilize kila mtu utaharibu nchi. Kiongozi inatakiwa aangalie mradi kwa kuangalia manufaa ya nchi,ila asikubali kudanganywa au kupewa vijineno na wachumia tumbo wachache. Unaacha kuuboresha mlima kilimanjaro kwa kuweka cable cars...
  4. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Visingizio haviishi? Semeni tu hamna akili. Eti unapanda zao kama maharage msimu wa mvua kubwa,halafu maua yakipukutika unalia.
  5. B

    Kilimanjaro National park/ Kilimanjaro Mountain Huduma ni mbaya sana

    Nyie ma tour operators ndio mnachangia huo upuuzi. Mnakumbuka serikali iliamua kuleta mwekezaji ambaye angefunga cable cars kwenye huo mlima na nyie kwa kutokutafakari kwa makini na kuangalia mbali mkapinga sana jambo hili hadi mpango mzima umekwama. Mkasema eti mtakosa pesa na matour guide...
  6. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Sijui unamaanisha nini kutawaliwa.Huko china wanatawaliwa lakini huoni huu upuuzi. Hata kama wanataka kula,kwani huwezi kula bila kuharibu nchi?l Mbona wanaweza kuwapa maafisa wa serikali motisha kila wanapotimiza majukumu kwa weledi na wakala pesa huku nchi ikisonga mbele. Mfano ukasema,wewe...
  7. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Mbunge analipwa milioni 12 kwa mwezi,ukiongeza na posho za kuingia bungeni na vikao na safari,mwisho wa mwezi anapewa kama milioni 17. Na idadi ya wabunge ni kubwa sana,kuna hadi wale wa kuteuliwa. Kuna jumla ya wabunge kama 400 kwenye nchi maskini yenye watu milioni 60 na matatizo yanayofanana...
  8. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Siku flani basi nikaona wanajisifu kuwa tanzania wanazalisha asali karibia tani 33 kwa mwaka hizo ni kama lita elfu 33. Inaonekana tupo nafasi ya pili kwa uzalishaji wa asali katika bara la afrika tukiongozwa na ethiopia. Angalao hapo wamejitahidi. Lakini........ Kwa mapori na hifadhi zilizopo...
  9. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Basi jana nikawa naangalia taarifa habari jioni. Ikafika wanaonyesha nanenane na mke wa rais mstaafu kikwete akiwa kwenye nanenane akashauri watu wa BOT warudishe kwenye mzunguko zile sarafu za zamani kwenye mzunguko ili watoto wa leo wazijue. Hapo anaongelea sarafu kama senti 50,20,10 na hata...
  10. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Hapana,mnamsifia kwa ajili ya matumbo yenu. Na cha ajabu mnapinga ujamaa mentality wakati mnachofanya ni hikohiko mnachokipinga,ujamaa mentality ambayo ni kusifu kiongozi. Hii tabia ilianzishwa na nyerere ikaendekezwa na baadae alipokuja mkapa alijaribu kuipunguza. Lakini magufuli...
  11. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Nilidhani utatetea hoja kwa kunipa link yenye mantiki kumbe unanipa porojo jlizoziandika mwenyewe. Kwani china ilivyoacha ujamaa imeacha kila kitu cha kijamaa? Au unadhani kumilikisha ardhi wageni ndio ufumbuzi wa tatizo la umaskini tanzania? Hata kenya wageni wana ardhi na bado wakenya ni...
  12. B

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Huwezi kuendelea kulaumu ujamaa ambao nyerere aliufuata kwa miaka toka mwaka 67 hadi 85 ambayo ni miaka 18 tuu. Na leo hii tuna miaka karibia 40 bila ujamaa. Ajabu bado unalaumu ujamaa.mbona china walikua wajamaa? Urusi je? Vietnam leo hiii iko mbele sana na walikua wajamaa kama sisi na maskini...
  13. B

    Mkoa wa Ruvuma ni mkoa unaopakana na nchi ya Msumbiji na Malawi

    Ruvuma mmesikia mnaambiwa acheni uchawi
Back
Top Bottom