Recent content by babavic

  1. B

    JamiiForums Nimemfungulia biashara lakini analeta dharau

    Hellow guys Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa...
Back
Top Bottom