Recent content by BABATI LEGEND

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

    Jimbo la BABATI MJINI ni kati ya majimbo ambayo kwa muda wa miaka mitano lilikuwa halina mbunge kabisaaaa. Kwa maana hiyo NATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BABATI MJINI mwaka wa uchaguzi 2015 :clap2:
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

    Kwa takribani miaka mitano ya kufuatilia mijadala ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na hatimaye bunge maalum la katiba, sikuwahi kumsikia huyu anaejiita mbunge wa watu wa jimbo la Babati mjini mh. CHAMBIRI. Nikiwa kama mwanababati SITAKUBALI kuona hili linatokea tena kwa Babati yetu...
Back
Top Bottom