''wana jf napenda kufahamu kama waliofanya interview na kuchaguliwa na baadhi walipigiwa simu na kuambiwa tarehe 3/12/2012 wanatakiwa kuanza training na ilisitishwa kwa muda na taarifa kutoka mezani zilisema tusubiri tutataarifiwa mwezi huu lakini mpaka sasa mambo ni kimya na tangazo limetolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.