Recent content by babacollins

  1. B

    Mnaojiita Wachambuzi wa Soka Tanzania ni Bora mjiite mashabiki kuliko kudanganya Umma

    Ndio haohao wanaotoa hoja kwamba wachezaji wetu wengi sio bora kwa kuwa hawajapitia katika misingi bora ya soka lakini wanaamini kuwa kwa kutumia mashindano mbalimbali ya mitaani wanayoyaandaa yataibua wachezaji bora watakaokuwa msaada kwa vilabu na nchi!!!
  2. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Hakuna kinachobadilika kwa umbo. Kinachotokea ni mpira kuwa rafiki na miguu!!
  3. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Asante, pia anaezoea kucheza mpira peku siku atakapo pata viatu anaweza kuona ni vigumu kucheza akiwa amevaa viatu lakini baada ya muda huzoea na kuona kawaida tu.
  4. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Ndio maana nimesema ni vema kujifunza kianze mapema, soma vizuri
  5. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Tuelimishane hizo B nipo kujifunza na kubadilishana machache tunayoyafahamu
  6. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    😂😂😂 uko sahihi ndio maana nimesema " HAVIENDANI" sio havifanani. Sio compartible kama ulivyosema uke na uume au kizibo na chupa ndio nilichomaanisha.
  7. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    kwa upande wako upo sawa umezungumzia "usahihi" mimi nazungumzia "kuendena".
  8. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
  9. B

    Simba na Yanga ni dhahabu mchangani

    Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka, ni ukweli usiopingika vilabu hivi viwili ni dhahabu mchangani kwa maendeleo ya soka na nchi kwa...
  10. B

    Jonas Mkude anahitajika mnoo kipindi hiki

    Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
  11. B

    Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Mchezaji akiumia kiasi cha kutolewa nje ya kiwanja kupata matibabu basi mchezaji aliemuumiza kama hakupata kadi nyekundu, na yeye akae nje ya kiwanja mpaka anaetibiwa arudi kiwanjani ndipo na yeye aruhusiwe kurudi kiwanjani ( hata kama alipewa kadi ya njano).
  12. B

    Barca inatupa Somo la Uongozi Bora

    Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi kwa Laporta kumebadilisha kabisa uelekeo wa mambo. Laporta huyuhuyu ndiye aliyeiacha Barca ikiwa na...
  13. B

    Uzalendo kwenye soka la Simba na Yanga

    Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine. Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...
  14. B

    Kuna kosa kuzigawa habari za michezo Kitaifa, Afrika na Kimataifa

    Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini linapokuja suala la habari za Afrika tayari ni za kimataifa sababu zinagusa mataifa tofauti afadhali za...
Back
Top Bottom