Tiba asili za mimea ni hazina kubwa na ya thamani sana katika ustawi wa afya ya binadamu. Kwa miaka mingi, mimea imekuwa chanzo kikuu cha utatuzi wa changamoto mbalimbali za kiafya, na hata dawa nyingi za kisasa zinazotumika hospitalini leo hii asili yake imetokana na kemikali hai...
Pole sana,tatizo hili ni halisi japo hapa wanakufanyia mzaha,lakini sisi tulioko kwenye fani ya tiba tunajua.Nusu ya wagonjwa wengi vijana na wale wanaoelekea kuuacha ujana wana tatizo la nguvu za kiume.
Kwa kuwa unahitaji msaada wa haraka,unaweza kuni PM tukajadili kidogo.
Hii Hali inatokea sehemu yote ya mwili au baadhi ya sehemu?? Kama ni baadhi ni sehemu ipi hiyo? Umri wako upoje kwa Sasa?
Nijibu hapo ili nione pa kuanIa
Jambo Wakuu!
Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao tulizoea kubadilishana maarifa na ujuzi mbalimbali.
Ninamshukru Mungu leo nimefanikiwa tena kuingia...
Hi ni maalumu kwa wanawake wanaosumbuliwa na matatizo mbalimbali ya mifumo ya uzazi.
Kuhusu Wanaume nilishaandika Sana hapa.
Leo ninawapa mchanganyiko maalumu wa mimea tiba ambao inaweza kuponya mfumo wa uzazi wa mwanamke na ukarejea katika utimamu wake.
Mchanganyiko huu hufanya Mambo...
Taf
Tafuta kitu kinaitwa black mushroom,kinapatikana supermarket za kimataifa,hususani za wachina,pamoja na apple cider vinegar.Ukipata ni-allert nitakufundisha namna ya matumizi.Hautajuta!
Katika kipindi hiki,ninakutana na watu mbalimbali( wengi Sana) wenye changamoto za afya hususani magonjwa yasiyoambukiza.
Kila nikiketi na kujadili nao juu ya kinachowasumbua ninagundua ni kujiingiza kwenye vitu visivyo vya lazima kwao.
1. Ufuatiliaji wa Mambo ya siasa kupita kiasi
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.