Recent content by baba sumayyah

  1. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    We kweli akili huna,yani daraja ambalo bado lipo kwenye ujenzi na wala halijaanza kutumika ndio unasema silaha nyingi zinapita hapo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Ila we jamaa nae una moyo wa kubishana na watu wa hovyo,hivi mtu hata "centcom" hajui ni nini anatumia chat gpt kutranslate mambo na bado una bishana nae tu.? Unatutia aibu wenye akili bhana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Dah umejua kunifurahisha namna ulivyomjibu huyo pimbi anaekurupuka tu kuparamia hoja bila ujuzi. Lakini pia usitumie nguvu kubwa sana kumwelewesha mtu ambae haijui hata hiyo local physics tunayopewa shule zetu za giza.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    "Dunia nzima" "gen z hawataki tena ishu za dini." Hivi hizi data ni Kwa takwimu ipi na iliyofanyika wapi.? Maana humu humu ndani ya uzi uchangiaji umejaa mirengo ya kidini tena haswa kwa upande wa wasiokuwa waislamu,je unataka kusema hawa pia si Gen z,na je kwako wewe ukisema dunia nzima...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Akili ndogo inapojibaraguza kuchangia mada kubwa. Hueleweki unataka nini.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Al Azhar na kuunda Qur’an standard (1924)

    Mliteseka na mtateseka sana na uislamu lakini kamwe hamtouweza si kuudidimiza wala kuutia dosari Mlosema ni mabwana wakubwa zenu na mkawaiga katika dini yenu ya uongo ndio hao walowatendea ngono visivyo watoto wadogo wasio na hatia. Epstein.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    Huu mchezo wala hautaki hasira shoga wa kiyahudi 🤣🤣🤣🤣🤣
  8. B

    JamiiForums Tanzania Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  9. B

    JamiiForums Tanzania Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Uislamu ni nini.? Toa na marejeo Unapozungumza. Maana unonekana wazi kichwani mwako hauna ujualo kuhusu uislamu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

    "Vipimo kwa Computer" hili taifa lina vijana wa hovyo sana,halafu ndio utasikia wakombozi wa nchi hao. Shame on you.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya mwandiko duniani: Mwalimu wako aliyekufundisha mwandiko unamkumbuka?

    Mwalimu wangu Manjuu shule ya msingi Iboni wilaya ya kondoa, mungu ambariki popote alipo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Hatari kwa Iran ila sio kwa Israel,ujerumani etc sivyo.? Kweli vilaza wengi sana.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Sasa hao jamaa zako vilaza ndio wamejadili kipi kuhusu neno azimio na Adhimio.?
Back
Top Bottom