Huyu anatukana wa Iramba kuwa hawana mbadala, wanairamba mpo? ni kweli Mwihulu mmempa haki miliki ya jimbo, Rombo walikataa haya majigambo wakammwaga Mramba
Unategemea wananchi wafanyeje wakati hata viongozi wao ambao watakiwe wawe visionary wameuza nchi kwa vyandarua vyenye dawa, hilo ndilo taifa tunalojenga - "Petty" society
Kweli huu ni msiba na unamuumiza yeyote anayehusika, hata wale wasiohusika wanaguswa na jinsi kilivyotokea ila kuna mambo yanayokera katika hili, kufuru isiyokuwa na maana na watu kuanza kumkumbuka Mungu wakati jambo fulani zito limewatokea. Kabla na baada ya tukio; hakuna kanisa, hakuna msikiti...
Ndio maana tunahitaji system overhaul, ni ngumu kuingia akilini kwa mtu yeyote kwamba kiongozi wa nagzi ya juu kama huyu anatoa kauli ambayo hakuipima, na yenye kumuaibisha hata yeye mwenyewe namna hii. Kuongea kunahitaji weledi na ubunifu wa hali ya juu na kupima madhara ya kile unachosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.