Recent content by Baba Shaq

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    Hawezi kuwa mzalendo mpaka atangaze mali zake acheni majungu. Baada ya kutangaza mali zake ndipo baada ya hapo mali mpya zitahesabika upatikanaji wake muwe waelewa wapiga debe wa mbowe nyie!!!!!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    True colour ipi, acha ushamba wa kisiasa wewe kuna shida gani kumpokea EL. Fanya siasa acha majungu wewe au unataka aje kwenu mbona ninyi mmeolewa na ccm b -cuf na hatusemi. lMliwaita cuf ccm b, hata mashoga leo mmeolewa nao kati ya ACT na nyie nani wababaishaji?
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washindwa kufanya mikutano Bariadi na Maswa

    [QUOTE=mwinukai;Teh teh teh! Musoma tumeona wenyewe ITV kulikuwa shwari na watu wengi mno.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo viwanja vya Furahisha Mwanza

    [QUOTE=Mapambano Yetu:Jana mlimtuma shetani akavuruge mkutano wa ACT-WAZALENDO kwa bahati mbaya hakueleweka. Hizi siasa gani za kishenzi, jitu halina hoja eti kesho msije kwa ACT-WAZALENDO...YAANI SAFARI YOTE KUTOKA DAR KWA FEDHA ZA WANANCHI KISA ACT-WAZALENDO, pumbaaaaaaaaavu haya ni matumizi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto ana nini mpaka umati kama huu unaenda kumsikiliza?

    Hakika tumepata kinywaji juu ya kiu yetu katika Chama bora tutakachokikabihimatumaini matumaini yetu kisiasa. CDM, CCM, TUPA KULEEEE!
  6. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto ana nini mpaka umati kama huu unaenda kumsikiliza?

    Hakika uelewa kwa watanzania umeongezeka saana na pia wamechoshwa na Siasa uchwara zinazofanywa na walanguzi wa DEMOKRASIA. ACT-WAZALENDO DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    Hebu muwe serious basi!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Tafuteni hiyo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Kutoka 14:8
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Wanafanana naye
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

    Teh teh teh!
Back
Top Bottom