Recent content by Baba Richard

  1. Baba Richard

    Kuku wa mayai

    Habari, nina kuku wa mayai 230. Wana miezi minne na wiki moja. Nimekwama kwenye kuwalisha. Bei ni tsh. 10,000 tu kwa kuku mmoja. Km upo interested nicheck kweny 0787329281 Au km yupo unaemfahamu anayetoa chakula cha kuku wa Layers kwa mkopo tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukran
  2. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Asante kwa ushauri Mkuu [emoji120]
  3. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Thank you for the insight bro, I appreciate [emoji120]
  4. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Shukrani kwa mchango mkuu, nitayafanyia kazi uliyoyaelezea hapa.
  5. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Siwezi kufanya biashara yoyote kichwa kichwa ndugu yangu kwasababu kuna watu wanaifanya, kufanya hivyo ni km kutest kina cha maji na miguu yote miwili utazama au kuvuka main road huku umefunga macho utagongwa tu
  6. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Shukrani sana Mkuu. Hakika nitayafanyia kazi uliyoyaelezea hapa. [emoji120]
  7. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Inaonekana ana matatizo na graduates, sijui walimfanyeje. Pengine mimi ni Form Four Leaver tu
  8. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Inaonekana ana matatizo na graduates, sijui walimfanyeje. Pengine mimi ni Form Four Leaver tu.
  9. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Inaonekana ana matatizo na graduates, sijui walimfanyeje. Pengine mimi ni Form Four Leaver tu.
  10. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Sijamkosea kitu Kaka, wala hata sifahamiani naye. JF ina watu wa aina tofauti tofauti na kwa kulijua hili mapema nikaandika ya kuwa napokea pia na maoni negative
  11. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Sawa bro. Nashukuru [emoji120]
  12. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Nimewahi kwenda ofisini kwao na ninajua vigezo vyao, what I wanted to know, sijui kama umeisoma hiyo thread na kuielewa vizuri ni kutaka kufahamu experience ya biashara yenyewe, hiki ni kitu ambacho hawatoweza kukushauri unbiased kwasababu wao wapo behind the desk kumonitor mambo ya IT na...
  13. Baba Richard

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s kidogo. Ninachotaka kukifanya ni kuchukua gari ya mtu na kuifanyia hiyo kazi kwa hesabu au mkataba...
  14. Baba Richard

    Mpangaji mwenzangu anahisi natembea na mkewe kutokana na mazoea

    Bro mshrikishe Mungu, He will give you a way out, I mean it
  15. Baba Richard

    Mpangaji mwenzangu anahisi natembea na mkewe kutokana na mazoea

    Ataongea naye nini? Ataanza kumwambia nini? Mimi nimewahi kukutana na mazingira yanayokaribia kufanana na hayo. Mwanzoni nilikasirika sana nikataka kuhama ila nikatafakari kila nyumba ya kupanga ipo na changamoto zake japo zinaweza zisifanane, sasa utahamia wapi ambako hamna changamoto kabisa...
Back
Top Bottom