Recent content by Baba Nusa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo

    Kufanya biashara na idara za serikali kuu na hata halmashauri is at your own risk,hawalipi kabisa,wanasema serikali haina hela,OC inauyopolekwa haitoshi!mambo yamebadilika sio kama zamani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    Kule kwemye Hifadhi ya wanyama pori ya Gombe, kuna kiongozi wa sokwe anayetawala sasa.Kiongozi huyu alimpindua aliyepita kwa kisingizio kuwa alikuwa dikteta. Hata hivyoi utaratibu wa sokwe hawa, mawindo yote ya sokwe raia ni lazima yapelekwe kwa huyu kiongozi,yeye ndio anao uamuzi ama wa kula...
Back
Top Bottom