Recent content by Baba Ntoto

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Ni kweli Kibamba Kuna maji na Kwa sehemu kubwa ndipo wanapoyatoa maji wanayotuuzia. Changamoto ya maji ni kubwa sana Kwa Dar kuliko Mwanza. Watu wananyia maji siasa
  2. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa. Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa. Au ni mbinu ya DAWASA ili watu wafanye biashara ya maji? Uhaba wa Maji huku ni zaidi ya Mwanza AWESO.
Back
Top Bottom