taaluma yang ni electronics n telecommunication eng diploma pia nina cheti cha CCNA ila kazi nayofanya sio ya taaluma yangu.. nilitaka nitoke kwemye ajira na nijiajiri mkuu
Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.
Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka?
Na...
Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa..
Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka?
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.