Recent content by Baba Muyemba

  1. B

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Ukweli Zitto mm nakufagilia ile mbaya mdogo wangu. Niliisoma thread yako ya mkasa wa issue ya dini na kampeni zako kule vijijini jimboni kwako uliyoielekeza kwa speaker nikagundua kichwa yako iko vizuri. So man you call me at any time that we hav much to share anytime from now! Hope we need to...
  2. B

    Picha na matukio; Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa Vatican Roma

    Nadhani Tanzania tunahitaji social and economic development badala ya kupendeza huku kapuku. I wish tungetamani kusikia kafanya nini au kaongea nini huko kinachoweza kulibeba taifa letu hata kama tunapungukiwa presentability!
  3. B

    Mpango wa kuwawekwa kizuizini Viongozi CHADEMA waiva?

    Haki haipotei, inaweza tu kucheleweshwa, maana hujitafutia njia yake yenyewe ifike inapostahili!
Back
Top Bottom