Unapokuwa na nia na msimamo ni lazima uisimamie nia yako, binadamu ukikosa msimamo ni lazima uwe mtumwa wa misimamo ya wengime, hivyo niliweka nia yangu ya kugombea ubumge jimbo la Sumve toka nikiwa sekondari, nia yangu iko palepale kama hakutakuwepo na mabaliko ya katiba
nitagombea kupitia...
kongamano la vljana vyuo vikuu limeacha mjadala mkali sana miongoni mwa Watanzania wanaofatilia mijadala mbalimbalj kuhusu katiba mpya. Hii imetokana na msimamo wa mtoa mada Prof shivji ambaye anaamini katika muungano wa serikali mbili na sio tatu. Nianze kwa kuwakumbusheni kuwa prof shivji...
kuita binadamu mwenzako kikaragosi ni kosa na ni ushamba usiokuwa na mantiki. unadhan wewe ni bora kuliko hao unaowaita kikaragosi. kila mtu ana msimamo kulingana na anavyoolewa mambo, huwezi kulazimisha kila mtu akufuate wewe unavyotaka, shimdana kwa hoja na wala si matusi ni ushamba na...
kunapotokea mpambano wa mafahali wawili lazima mmoja akishindwa huleta visingizio kibao. Chadema imapoingia vitani hutumia mbinu nyingi zikiwemo halali na haramu, kuna wengine watapinga kuwa chadema hawatumii mboinu haramu, lakini ukwel wanaifahamu mwenyewe. Mara nyimgi chadema wanaposhindwa...
mchakato wa katiba ulikosewa toka mwanzoni kwani suluhisho la muungano ni serikali moja. wala kuwa na serikali tatu au muungano wa mkataba ni kuuvunja muumgamo. Mapendekezo ya warioba si ya watamzania walio wengi ni hoja ya watu wachache wenye muono wa kuiona Tanganyika ikirejea. Wala serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.