Kwa mwenye uelewa mkubwa atasadiki hizi sera za lowassa
Linganisha vipaumbele vya hawa Wagombea wetu,
LOWASSA,
1.Elimu
2.Kilimo
3.Afya
4.Mawasiliano
5.Nidhamu pamoja na Utawala bora.
Kwenye kona ya kitalaaam Lowassa yuko vizuri sana amegusa mahitaji ya jamii kwa kutumia lugha ambayo...
Hiyo ni politics strategies....kwani wewe hujiulizi kilichomfanya nape nnauye kuanza kumsifia dr slaa na lipumba baada ya kujitoa ukawa?������
Mnamezeshwa vitu vya kijinga mnakwepa point za muhimu.
Hebu jiulize na wewe haya maswali.
MAGUFULI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.