TANZANIA TUNAHITAJI WAPINZANI WA KWELI
Kwanza napenda kumshukuru Mola wangu kwa kuweza kunipa siha njema ambayo ndio silaha yangu katika kupambana na madhira ya ulimwengu huu.
Napenda kutumia nafasi hii kwanza kutoa yale yangu ya moyoni bila ya kujali au kuogopa chochote na kuafnya...
Baada ya kukaa kwa muda na kufanya tafakuri makini nimeona sasa nichukue nafasi hii kuwauliza wadau wa siasa, kwani inawezekana kuna ambaye anaweza kunipa jibu juu ya mkanganyiko huu unaosumbua akili yangu.
Prof Lipumba ni miongoni mwa tunu ndani ya taifa hili. Bila ya kupoteza muda naomba...
Hivi karibuni kumekuweko na matukio mbali mbali hususani chama cha Demokrasia na maendeleo. Tumeshuhudia viongozi wakitimua kwa makosa mbali mbali na wengine wakifukuzwa kwa kutaka kujua au kusimamia msimamo ambao unawanyima fursa wengi wa kutumikia matumbo yao kwahiyo watu kama hao katika...
kwanza kabisa napenda kutoa rai mimi ni mtanzania ambaye naitaji mabadiliko kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii. mabadiliko ambayo ccm imeshindwa kuyafanya hivyo basi niliamini kuwa vyama vya upinzani vitakuwa chachu ya mabadiliko hayo lakini ni tofauti. kwan mwaka 1995 niliamini kuwa Nccr...
kwa hoja ya Lema ni hoja ya kitoto na ambayo inakosa mashiko kwani hakuna uhalusia, maneno ambayo ameyaandika hayana tofauti na maneno ya katika taarabu hivyo kama kweli Lema ni mkweli na mpenda maendeleo ya wananchi wake kuna mambo mengi ya kujadili na sio suala la malumbano na Zitto kwani kwa...
kutoka na nakala zilizowekwa hapo juu zinaonyesha wazi jinsi gani viongozi wetu wapo kwa ajili ya maslahi yao na bila ya kujali au kutokujua ni nini wanafanya katika uongozi wao. sio mara ya kwanza kwa Dr Slaa kuropoka katika media bila ya kujua nini anafanya , kwa kitendo cha katibu mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.