Recent content by Baba Jadecah

  1. Baba Jadecah

    Window gani bora zaidi?

    Uko sawa mkuu, 10 updates nyingi balaa. Nina 8.1 pia sema ina shida ya play stor inanizingua dah
  2. Baba Jadecah

    Window gani bora zaidi?

    N Nimekusoma mkuu na bahati nzuri nimeshapata ufumbuzi wa bluetooth, kama ulivyosema tatizo lilikuwa setting tu na driver.
  3. Baba Jadecah

    Naombeni msaada wa kurudisha WI-FI kwenye PC

    Asante mkuu ngoja nijaribu
  4. Baba Jadecah

    Naombeni msaada wa kurudisha WI-FI kwenye PC

    Asante japo maelezo yako ni mepesi sana.
  5. Baba Jadecah

    Naombeni msaada wa kurudisha WI-FI kwenye PC

    Hujaelewa nini hapo? simply nisaidie kurudisha wireless kwenye PC,Kwa sasa sioni hata hata icon ya WI-FI hata hiyo Flight mode siioni kabisa,! Hizo screenshot ndivvyo inavyoonekana, nikijaribu troubleshoot napewa option ya kutumia cable( kumbuka nahitaji KUUNGA Hotspot kutoka kwenye simu)
  6. Baba Jadecah

    Jifunze kutumia troubleshooting tool iliyomo kwenye OS ya PC yako kutatua matatizo ya PC yako kabla ujamwona fundi maana akina fundi Michael ni wengi

    Hebu fafanua mkuu hiyo "window icon" naipataje? fafanua kama upo na begginers sio advanced mkuu. Mimi binafsi PC yangu imepoteza internet kabisa baada ya kufanya setting kwenye BIOS. Ukinisaidia nitashukuru
  7. Baba Jadecah

    Naombeni msaada wa kurudisha WI-FI kwenye PC

    Habarini wataalamu, Jana kuna settings nilikuwa nafanya kwenye BIOS, nadhani hapo ndipo tatizo lilipotokea, maana niliporudi huku kwenye desktop, WI-FI ikapotea kabisa. Naombeni msaada au maelezo ya kina nirudishe HOTSPOT. Napenda zaidi kutumia wireless kutoka kwenye simu. Asanteni
  8. Baba Jadecah

    Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    Ni Samsung Grand Prime Pro SM-J250F. Msaada plse
  9. Baba Jadecah

    Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    Samsung Grand Prime Pro mkuu. Android 7.1.1
  10. Baba Jadecah

    Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    Wakuu nawapataje munisaidie, maana hapa naona mapichapicha tu yani sielewi kitu. Natumia Samsung Grand Prime Pro Android ni 7.7
  11. Baba Jadecah

    Jinsi ya kuroot simu za Android

    Mkuu nimejaribu nimeishia njiani, nisaidie hapo kwenye mambo ya security naondoaje ili rooting system ikubali
  12. Baba Jadecah

    Jamani msaada, naomba kufafanuliwa kuhusu Win Bar

    Hii kitu inaitwa WIN RAR au zip ni nini? naomba mwenye uelewa anidadavulie maana nimeinstall biblia kwenye pc yangu sasa kuifungua imekuja kwenye mfumo wa zip hapo sasa sielewe kitu kabisaa jinsi ya kuifungua, naombeni msaada au kama kuna link ya maelezo pia itasaidia. Nimewasilisha wakuu
Back
Top Bottom