Ukiua raia Ina maana ww huna keshi imara na bobezi kimsingi kuua raia wasio na hatia huo ni udhaifu kama unaweza piga Kambi za jeshi ndio maana tunasema Israel Hana LOLOTE maana Kazi yake ni kuua watu wasio na hatia badala ya kuua anaopambana nao na sio kuua wanawake na watoto
Kwan hujui pia kuwa Kuna general wa Iran aliyeuawa Lebanon? Nayo pia ni Sababu hyo in reality hakuna kukurupuka Israel wanataka kuitawala mashariki ya kati so Iran imefanya sawa kabisa Tena Bado kuiangamiza tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.