Recent content by Baba Gabriellah

  1. B

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    https://www.jamiiforums.com/threads/mkakati-wa-kukuza-na-kuendeleza-sekta-ya-kilimo.2019212/
  2. B

    SoC02 Mikakati madhubuti ya kuboresha Sekta ya Kilimo Tanzania

    Andiko zuri mkuu kura yangu umepata .. naomba na wewe usome andiko langu na kupigia kura kwa kugusa hii link https://www.jamiiforums.com/threads/mkakati-wa-kukuza-na-kuendeleza-sekta-ya-kilimo.2019212/
  3. B

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Safi andiko zuri.. ila kwa upande wangu iyo point ya pili sijaelewa vizuri
  4. B

    SoC02 Mkakati wa Kukuza na Kuendeleza Sekta ya Kilimo

    Kilimo ni sayansi inayohusisha kulima mimea na mifugo. Kilimo ni moja kati ya shughuli za kwanza kabisa kufanywa na binadamu katika harakati za kujitafutia chakula. Mazao ya kilimo yanaweza kugawanywa katika makundi ya vyakula, nyuzinyuzi, mafuta na malighafi kwa ajili ya shughuli za viwanda...
  5. B

    SoC02 Mabadiliko chanya katika Sekta ya Afya kwa sasa Tanzania

    Thanks mkuu.. naomba upigie kura ilo andiko
  6. B

    SoC02 Uchumi wa Tanzania 2022

    Ya 1.Sijakopi google ila baadhi ya idea nimejifunza huko 2.andiko linahusu mabadiliko chanya katika uchumi wa Tanzania
  7. B

    SoC02 Uchumi wa Tanzania 2022

    Uchumi unaweza kuelezwa kwa namna mbalimbali. Uchumi ni jumla au mjumuisho wa shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji katika nyanja zote za maisha ya jamii au taifa husika. Uchumi ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo pamoja na kutolewa kwa...
  8. B

    SoC02 Afya Yetu Watanzania

    Karibuni wanajukwaa kwa maoni, mawazo, mapendekezo na ushauri. Bila kusahau kupigia kura ilo andiko. Asanteni
  9. B

    SoC02 Afya Yetu Watanzania

    Afya; Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, ni hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na sio tu ukosefu wa magonjwa na udhaifu. Kuna aina mbalimbali za afya kama vile afya ya kimwili, kiakili, kiroho, kihisia na kijamii. Afya inaweza kukuzwa kwa kuhimiza shughuli zenye afya...
  10. B

    SoC02 Mabadiliko chanya katika Sekta ya Afya kwa sasa Tanzania

    Um Umetumia kigezo gani kujua idadi ya maneno kwenye iyo makala ?
Back
Top Bottom